Kodtec Speaker systems

Kodtec Speaker systems

Ni kweli kuna speakers specifically kwa ajili ya studio. Hizi huwa zinakuwa neutral with no color to the sound.. na ni mahususi kwa ajili ya kutengenezea mziki studio.

Ila si kweli kuwa True 2 channel music inapatikana kwenye studio monitors peke yake.

True 2 channel audio inapatikana pia kwenye speakers za kawaida za sisi wasikilizaji/watumiaji. From bookshelves to floor-standers.

Hapa ikumbukwe nazungumzia speakers za kweli za brand zinazoeleweka kwenye ulimwengu wa audio...sio hizi speakers za lg na sony na subwoofers za mchina.
Sasa hizo brand zinazoeleweka ni zipi mkuu?
 
Okay here we go....

Naitambulisha kwenu The Fives from Klipsch.
A true HiFi System, designed for music.

Brand: Klipsch
Model: The Fives

INTRO:
Ni powered Speakers. Maana yake iko na in-built amp.. Na ina inputs connections almost zote

SOUND:
- It has a very BIG Sound.. They sound very BIG.

- Zile sifa za Soundstage and Imaging nilizozungumza kwenye comment iliyopita, unazipata hapa.

-Zinapopiga mziki, zina-dissappear. You just hear Music but You don't hear music directly from the speakers.
Zinakupa UHALISIA wa mziki in terms of sauti/instrument inatakiwa isikike kutoka wapi.

- Kwa upande wa Bass, zina Bass ya kutosha sana. Ila una option ya kuongeza sub kama utataka. (Honestly sijawahi kuhitaji kuongeza sub...The Bass here is more than Enough for me)

MY OPINION:
Kwa kifupi... Zina sound vizuri sana... I mean SANA.
Ni speakers zilizonipa Taste na experience mpya ya mziki ambayo sikuwahi kuipata popote hapo kabla.

Binafsi Naamini mtu akionja hii ladha, ni ngumu sana kurudi kwenye homethearters/soundbars na subwoofers.

Naambatanisha na Picha kama ulivyoomba.View attachment 2629947View attachment 2629948
Vipi naipata kwa bei gani mkuu
 
Wakuu oneni hichi kunakitu kweli, kwa geto kutakuwa na dep bass.
Screenshot_20230522-152545.png
Screenshot_20230522-152522.png
 
Back
Top Bottom