Knight rider
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 455
- 685
Sasa hizo brand zinazoeleweka ni zipi mkuu?Ni kweli kuna speakers specifically kwa ajili ya studio. Hizi huwa zinakuwa neutral with no color to the sound.. na ni mahususi kwa ajili ya kutengenezea mziki studio.
Ila si kweli kuwa True 2 channel music inapatikana kwenye studio monitors peke yake.
True 2 channel audio inapatikana pia kwenye speakers za kawaida za sisi wasikilizaji/watumiaji. From bookshelves to floor-standers.
Hapa ikumbukwe nazungumzia speakers za kweli za brand zinazoeleweka kwenye ulimwengu wa audio...sio hizi speakers za lg na sony na subwoofers za mchina.
Sadhii bass inayosikikaga hpa kidimbwi pub -moshi mjini stand kubwa
huwa inaninyima usingizi aiseeee
halafu wahudumu hawatak mtaja hta meneja niuulizie hyo bass ni aina gani[emoji3064][emoji3064]
Vipi naipata kwa bei gani mkuuOkay here we go....
Naitambulisha kwenu The Fives from Klipsch.
A true HiFi System, designed for music.
Brand: Klipsch
Model: The Fives
INTRO:
Ni powered Speakers. Maana yake iko na in-built amp.. Na ina inputs connections almost zote
SOUND:
- It has a very BIG Sound.. They sound very BIG.
- Zile sifa za Soundstage and Imaging nilizozungumza kwenye comment iliyopita, unazipata hapa.
-Zinapopiga mziki, zina-dissappear. You just hear Music but You don't hear music directly from the speakers.
Zinakupa UHALISIA wa mziki in terms of sauti/instrument inatakiwa isikike kutoka wapi.
- Kwa upande wa Bass, zina Bass ya kutosha sana. Ila una option ya kuongeza sub kama utataka. (Honestly sijawahi kuhitaji kuongeza sub...The Bass here is more than Enough for me)
MY OPINION:
Kwa kifupi... Zina sound vizuri sana... I mean SANA.
Ni speakers zilizonipa Taste na experience mpya ya mziki ambayo sikuwahi kuipata popote hapo kabla.
Binafsi Naamini mtu akionja hii ladha, ni ngumu sana kurudi kwenye homethearters/soundbars na subwoofers.
Naambatanisha na Picha kama ulivyoomba.View attachment 2629947View attachment 2629948
Mzee wa kusikiliza akitokea Member yupo Ngara huko na ana sound system kalii utaenda tu mkuuUko wapi nije niskilize hio soundstage
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] nimecheka sanaa aiseeMzee wa kusikiliza akitokea Member yupo Ngara huko na ana sound system kalii utaenda tu mkuu
Niko Hapahapa Jijini mkuu.Uko wapi nije niskilize hio soundstage
Unapiata kwa 2.5M hivi.Vipi naipata kwa bei gani mkuu
Brand zinazoeleweka ni kamaSasa hizo brand zinazoeleweka ni zipi mkuu?
Sawa mkuuUnapiata kwa 2.5M hivi.
Kila la kheri mjumbeWeekend ntakucheki
Naiwe hivyo mjumbe wetu. Ukirudi hapa kwenye uzi ulezee kwa upana uzuri wa huo mziki na utofauti wake upoje ukilinganisha na miziki miwili ya awali uliyo isikililiza, kodtec nawa filbert.Weekend ntakucheki
Haina noma mzeeWeekend ntakucheki
Specs zake zinavutia ila kwa kuwa ni Fui Shin hatuwezi kumuamini bila kumtumia.Wakuu oneni hichi kunakitu kweli, kwa geto kutakuwa na dep bass.View attachment 2631224View attachment 2631228
picha zako zimetumika huko kwnye biashara ya mtuAhaa kumbe apo sawa mkuu
Kwa unavyo ona kanaweza. Kuziacha sabwofer nying?Specs zake zinavutia ila kwa kuwa ni Fui Shin hatuwezi kumuamini bila kumtumia.