Kodtec Speaker systems

floorstanding zilikuwa hzo tu pekee, zimebaki ma radio ya zamani na speakers zake kma Sony, aiwa, pioneer, Panasonic

uzuri hii avr yangu ina port ya subwoofer pre- out

basi nimeunga na bufa la kodtec, mziki ni kabambe

sema kwa baadae nitatafuta ile subwoofer ya pioneer 3020 pro watts 1800 rms na center speaker 1 ya maana , nitakuwa nimemaliza upande wa vinu


halafu umesema hauna monoblock amp hapo kwako, so hzo pioneers subwoofers umeunga kwenye nini??
 
Nimeziunga kwenye boschman amplifier ambayo ni 4 channel fully bridgeable MOSFET amplifier 2ohm stable 1500watts
 
Nikishapata floor standing ya Polk ,
Namalizia na hizi
Subwoofer mbili za kibabe za
Pioneer za TS-W3820PRO
PRO Samurai series - 15" High Efficiency Subwoofer. (3500 W)



Pamoja na hii Skar Audio SKv2-3500.1D, 3500 RMS watts Monoblock Class D MOSFET Competition Grade Subwoofer Amplifier, 4700W Max Power



Hapo mambo yangu yatakaa sawa
 
yaani una pioneer subwoofers 3 tayari roughly ni kma watss 1200rms

bdo tena uongeze samurai pro 2 @3600rms

yaani upande wa bass tu utkuwaa na watts 5000[emoji16][emoji16]

sasa mzee hta club hamna huo mziki[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
yaani una pioneer subwoofers 3 tayari roughly ni kma watss 1200rms

bdo tena uongeze samurai pro 2 @3600rms

yaani upande wa bass tu utkuwaa na watts 5000[emoji16][emoji16]

sasa mzee hta club hamna huo mziki[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Yeaah ni kweli mkuu ila it will be a special music sound for special event,
Ni mwendo wa kuswitch tu coz ni kucheza na Switching off and on from one system to another in normal circumstances in correspondence with thorough electric wiring connections .,
Kwa sababu hata power supply ya hio amplifier lazima iwe amps 350 Kwa volts 12 mpaka 16v.

Ila naweza kuswitch all systems pale tu kama ni special event around my home
 
Napenda low to medium volume in big high power sound system,
Huwa kuna feelings flan naipata ,naipenda saana ,.
Mfano pale zile bass speaker za p.a zikiwa zinatestiwa kwenye ukumbi Kwa sauti flan ndogo ya kusogeza watu wakalibie.
 
oohoo kumbe una purpose ya kutumia kwenye masherehe

sa si Bora ungenunua hta simple P.A system.
 
Kwa kweli tumemsamehe. Atafute na receiver sasa. Aenjoy vzr.
 
oohoo kumbe una purpose ya kutumia kwenye masherehe

sa si Bora ungenunua hta simple P.A system.
Daah shida mwonekano wa P.A zile bass zake zimekaa kama sinia alafu frequency zake ni kubwa yaan from 45hz onwards and from 4ohms to 16ohms
labda p.a nzuri ya bass ambayo nilishaiyona imefunikwa koote na Ina spika 2 za bass zenye 18 inches na ilikua na ventilation holes mbili kubwa pia ilikua ina 30hz at 4ohms.

Mimi Napenda subwoofer speaker ZENYE mwonekano wa bakuli kubwa ,na Zina Ile dust cap yenye shavu la rubber lililoinuka juu kama mfano wa sundown, Orion na wenzake wa Design hiyo

Wazungu wenyewe wanaita "basket "
Sisi tunaita kinu"
Na ni Kwa sababu ya performance yake interms of deep bass frequency handling from 20hz or sometimes 15hz. Pia from 1ohm or 2ohms or 4ohms kulingana na music preference Yako in wiring connections.
na ndo maana unakuta gari inafukuta bass nzito with balanced sound system in low volume.
 
sema zipo p.a za maana tu , zinacheza hadi 20hz brands kma Behringer , pronomic, mackie, Yamaha wapo vizuri sana huo upande

shida kibongo bongo kupata hzo mtihani sanaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…