Kodtec Speaker systems

Kodtec Speaker systems

Wakuu,

Sound bar genuine by Samsung ni made in nchi gani?

Nahitaji sound bar ya Samsung original/genuine, A450 au A550. Kwa huko Dar zina bei gani?

Nimeona huku mkoani Samsung a450 imeandikwa '400 watts' na ni 'made in china'.

Cc: MoneyHeist4 , Foxhound , hjr
IMG_20230707_211606.jpg
Mkuu yangu hiyo Samsung A550 inasomeka kama hivyo. Watt 410.
 
Nikishapata floor standing ya Polk ,
Namalizia na hizi
Subwoofer mbili za kibabe za
Pioneer za TS-W3820PRO
PRO Samurai series - 15" High Efficiency Subwoofer. (3500 W)

View attachment 2676555
View attachment 2676558
Pamoja na hii Skar Audio SKv2-3500.1D, 3500 RMS watts Monoblock Class D MOSFET Competition Grade Subwoofer Amplifier, 4700W Max Power

View attachment 2676548

Hapo mambo yangu yatakaa sawa
Baada ya kukamilisha hii sound lazma upewe notisi ya kuhama hapo mjengoni.
 
Wakuu,

Sound bar genuine by Samsung ni made in nchi gani?

Nahitaji sound bar ya Samsung original/genuine, A450 au A550. Kwa huko Dar zina bei gani?

Nimeona huku mkoani Samsung a450 imeandikwa '400 watts' na ni 'made in china'.

Cc: MoneyHeist4 , Foxhound , hjr
Mimi natumia Samsung sound bar 6 Series (A650) 430W bei inasimama kwenye 900K
 
Unaweza ukanunua kokote ilimradi kama unajua kuscan barcode, iscan kabla ya kununua ili kuhakiki kama ni original

Sawa. Nitaagiza tu huko Dar.
Mwanza zimejaa Samsung feki za China... wanaandika watts za uongo.
 
Yeaah ni kweli mkuu ila it will be a special music sound for special event,
Ni mwendo wa kuswitch tu coz ni kucheza na Switching off and on from one system to another in normal circumstances in correspondence with thorough electric wiring connections .,
Kwa sababu hata power supply ya hio amplifier lazima iwe amps 350 Kwa volts 12 mpaka 16v.

Ila naweza kuswitch all systems pale tu kama ni special event around my home
hapa lazima ujenge urafiki na tanesco kwa kununua units za umeme
 
Vipi jamani wataalam nimekuta hiinkitu sehemu..

Ina mzimi wa kuridhisha au niachane nalo??View attachment 2680448

aliang za kwanza hizo zina bass ngumu sana ni maalumu kwa ajili ya kubighudhi wapangaji wengine.

ila ktk viwango vya mziki kama unavyojua mchina na haya madude yake bado.so libebe kwa minajiri hiyo ya vurugu sio ubora wa mziki.
 
Back
Top Bottom