filibert paul
Senior Member
- Oct 8, 2021
- 179
- 421
Makofi kwako mwambakwangu design kwenye vyombo vya sound
ni kigezo cha mwisho kabisa
cha kwanza ni performance ya sound outuput
kma muonekano nitaupata kwa manzi aisee[emoji41]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makofi kwako mwambakwangu design kwenye vyombo vya sound
ni kigezo cha mwisho kabisa
cha kwanza ni performance ya sound outuput
kma muonekano nitaupata kwa manzi aisee[emoji41]
Hahahaakwangu design kwenye vyombo vya sound
ni kigezo cha mwisho kabisa
cha kwanza ni performance ya sound outuput
kma muonekano nitaupata kwa manzi aisee[emoji41]
ona dude hilo milion 4 kumilikiMakofi kwako mwamba
Kinyonge sana mzee.
Ila 2.5M kwenye music dah.
Napata 43" Hisense 4K Smart (650k)
Napata Hisense 2.1 HS218 Soundbar (400k)
Chenji napata friji, cooker, na Washing machine za Hisense.
Dah tutafute hela.
450K pale M.City ila kwenye maduka ya K.Koo unaweza ipata kwa bei nzuri zaidi bila shaka
JBL andaa milion 1.3 na kuendelea
JBL andaa milion 1.3 na kuendelea
Kwa budget hiyo utapata system ya kawaida.
Kwa budget hiyo utapata system ya kawaida.
Kwa upande wa music mziki, mziki wa laki 3 ni wa kawaida sana to be frank... Hamna maajabu, so inabidi ushushe expectations zako... the same goes for movies
Hizo floor standing ni Bei Gani umezichukua mkuu?Leo bhana si nikaotea floor standing ya mjerumani
aloo wazee jamaa wa sound stage asipuuzwe aloo nimezitest hapo sound ni very cleannnnn yaani acha, sio kwamba zina mziki mkubwaaaa hapana ila sauti imechujwa vibaya mnooooo
yaani kiukweli clarity yke hyo kodtec ni tupa huko
ina bass nzuri, tweeter and mid bass viko clear sana sio kubwa kivile ila ni nzuri
so hpo nimeunga hpo na bufa la kodtec
ni pumbu tu zinacheza daaaah
sound over all naipa rate ya 7/10.
View attachment 2674547
elfu themanini tu.Hizo floor standing ni Bei Gani umezichukua mkuu?
Asante kwa kunielewa mkuu.Leo bhana si nikaotea floor standing ya mjerumani
aloo wazee jamaa wa sound stage asipuuzwe aloo nimezitest hapo sound ni very cleannnnn yaani acha, sio kwamba zina mziki mkubwaaaa hapana ila sauti imechujwa vibaya mnooooo
yaani kiukweli clarity yke hyo kodtec ni tupa huko
ina bass nzuri, tweeter and mid bass viko clear sana sio kubwa kivile ila ni nzuri
so hpo nimeunga hpo na bufa la kodtec
ni pumbu tu zinacheza daaaah
sound over all naipa rate ya 7/10.
View attachment 2674547
brand ni life tecAsante kwa kunielewa mkuu.
Nothing beats a TRUE Stereo System kwenye mziki... Hakuna cha Subwoofer za mchina wala soundbars wala HTiB.
By the way, hizo speakers ni Brand gani? Zinaonekana kama ni speaker za brand ya Focal, or?
Kama umenunua kwa 80k kwa kweli that was more than a Big Deal. It is a STEAL.
Hongera sana mkuu... Sasa enjoy mziki wa kweli...Dhambi zako za kutumia subwoofer za mchina zimesamehewa.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]brand ni life tec
hizi speakers mara ya kwanza nilienda kuulizia miezi mi3 nyuma hpo hpo nilimkuta mother m1 akaniambia ni laki 3, nikamuambia nikija na laki 2 je? akanijbu labda 250000 mwisho , nikasepa
basi nikawa napita hyo njia mara kwa mara nazikuta nje ya duka zimewekwa, nikasema ngoja nijichange kwanza ....
sasa jana nikasema ngoja nikacheki tena dukani nikaulizie tena bei ( niliamini asingeweza kunikumbuka kama nilishawahi kuja pale dukani kuulizia speaker)
basi nimeingia tu ndani nakuta majamaa wawili yule maza simuoni ( hao majamaa ndo wenye duka kumbe)
nikawauliza kuhusu floorstanding speakers ( wakashindwa kunielewa, hpa niliona wafanya biashara wengi hawana details za kutosha kwenye vitu vinavyohusu bidhaa zao)
basi nikawaelekeza zinavyokuwa wakanielewa, ndo wakanitolea hzo floorstanding ambazo bi mkubwa aliniambiaga 300000 mwanzoni
basi nikajifanya kuwauliza tena wale majamaa bei, wakaniambia eti 120000, aloo moyo ulipiga paaaahhh! nikasema nini ama amekosea
basi sikuonesha reaction yyte kwao, nikajifanya na mie ooohoo bei kali sanaaa kwa hzo speakers, blah blah za kutosha
ndo themanini ikatoka, ila walivyotest kutumia kichwa cha Panasonic hi-fi system hazikusound poa kivile..
nilipokuja kutest kwenye avr la onkyo la zamani
aloo nilichokisikia sikuamini kabisa , nikajifungia kwanza na funguo wasije ikaw wananifuata nyuma wanirudishie themanini yangu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
SaaFi saana mkuu ntakuchek unielekeze ulipozichukua nije nizichukue niongeze kwenye system yangu coz by now nipo naelfu themanini tu.