Kodtec Speaker systems

Kodtec Speaker systems

Makofi kwako mwamba
ona dude hilo milion 4 kumiliki
IMG-20230614-WA0003.jpg
 
Leo bhana si nikaotea floor standing ya mjerumani

aloo wazee jamaa wa sound stage asipuuzwe aloo nimezitest hapo sound ni very cleannnnn yaani acha, sio kwamba zina mziki mkubwaaaa hapana ila sauti imechujwa vibaya mnooooo

yaani kiukweli clarity yke hyo kodtec ni tupa huko

ina bass nzuri, tweeter and mid bass viko clear sana sio kubwa kivile ila ni nzuri

so hpo nimeunga hpo na bufa la kodtec

ni pumbu tu zinacheza daaaah

sound over all naipa rate ya 7/10.

20230630_210119.jpg
 
View attachment 2674547
Hizo floor standing ni Bei Gani umezichukua mkuu?
 
Leo bhana si nikaotea floor standing ya mjerumani

aloo wazee jamaa wa sound stage asipuuzwe aloo nimezitest hapo sound ni very cleannnnn yaani acha, sio kwamba zina mziki mkubwaaaa hapana ila sauti imechujwa vibaya mnooooo

yaani kiukweli clarity yke hyo kodtec ni tupa huko

ina bass nzuri, tweeter and mid bass viko clear sana sio kubwa kivile ila ni nzuri

so hpo nimeunga hpo na bufa la kodtec

ni pumbu tu zinacheza daaaah

sound over all naipa rate ya 7/10.

View attachment 2674547
Asante kwa kunielewa mkuu.

Nothing beats a TRUE Stereo System kwenye mziki... Hakuna cha Subwoofer za mchina wala soundbars wala HTiB.

By the way, hizo speakers ni Brand gani? Zinaonekana kama ni speaker za brand ya Focal, or?

Kama umenunua kwa 80k kwa kweli that was more than a Big Deal. It is a STEAL.

Hongera sana mkuu... Sasa enjoy mziki wa kweli...Dhambi zako za kutumia subwoofer za mchina zimesamehewa.
 
brand ni life tec

hizi speakers mara ya kwanza nilienda kuulizia miezi mi3 nyuma hpo hpo nilimkuta mother m1 akaniambia ni laki 3, nikamuambia nikija na laki 2 je? akanijbu labda 250000 mwisho , nikasepa

basi nikawa napita hyo njia mara kwa mara nazikuta nje ya duka zimewekwa, nikasema ngoja nijichange kwanza ....

sasa jana nikasema ngoja nikacheki tena dukani nikaulizie tena bei ( niliamini asingeweza kunikumbuka kama nilishawahi kuja pale dukani kuulizia speaker)

basi nimeingia tu ndani nakuta majamaa wawili yule maza simuoni ( hao majamaa ndo wenye duka kumbe)

nikawauliza kuhusu floorstanding speakers ( wakashindwa kunielewa, hpa niliona wafanya biashara wengi hawana details za kutosha kwenye vitu vinavyohusu bidhaa zao)

basi nikawaelekeza zinavyokuwa wakanielewa, ndo wakanitolea hzo floorstanding ambazo bi mkubwa aliniambiaga 300000 mwanzoni

basi nikajifanya kuwauliza tena wale majamaa bei, wakaniambia eti 120000, aloo moyo ulipiga paaaahhh! nikasema nini ama amekosea

basi sikuonesha reaction yyte kwao, nikajifanya na mie ooohoo bei kali sanaaa kwa hzo speakers, blah blah za kutosha

ndo themanini ikatoka, ila walivyotest kutumia kichwa cha Panasonic hi-fi system hazikusound poa kivile..

nilipokuja kutest kwenye avr la onkyo la zamani

aloo nilichokisikia sikuamini kabisa , nikajifungia kwanza na funguo wasije ikaw wananifuata nyuma wanirudishie themanini yangu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
elfu themanini tu.
SaaFi saana mkuu ntakuchek unielekeze ulipozichukua nije nizichukue niongeze kwenye system yangu coz by now nipo na
3 pioneer Subs, 2 mids, tweeters, mixer, 5way crossover, 12v power supply , except monoblock amplifier 2400w ambayo Iko njian.
Asa ntaongeza na hizo floor standing speakers
Maana deep base niliyonayo watu washaikubali ila wananiuliza ni subwoofer Gani hiyo natumia? ila Mimi nawambia kuwa ni car system na Kila mtu anayepita anaangalia dirishani kwangu coz mziki mzito kinoma ila hawaoni gari 🤓.
Kwa mwonekano na sound clarity ya hizo Life tec floor standing speakers naunga mkono na ntaifanyia kazi one time niwe Nayo mkuu
 
Back
Top Bottom