Kodtec Speaker systems


Mkuu yangu hiyo Samsung A550 inasomeka kama hivyo. Watt 410.
 
Baada ya kukamilisha hii sound lazma upewe notisi ya kuhama hapo mjengoni.
 
Mimi natumia Samsung sound bar 6 Series (A650) 430W bei inasimama kwenye 900K
 
Unaweza ukanunua kokote ilimradi kama unajua kuscan barcode, iscan kabla ya kununua ili kuhakiki kama ni original

Sawa. Nitaagiza tu huko Dar.
Mwanza zimejaa Samsung feki za China... wanaandika watts za uongo.
 
hapa lazima ujenge urafiki na tanesco kwa kununua units za umeme
 
Vipi jamani wataalam nimekuta hiinkitu sehemu..

Ina mzimi wa kuridhisha au niachane nalo??View attachment 2680448

aliang za kwanza hizo zina bass ngumu sana ni maalumu kwa ajili ya kubighudhi wapangaji wengine.

ila ktk viwango vya mziki kama unavyojua mchina na haya madude yake bado.so libebe kwa minajiri hiyo ya vurugu sio ubora wa mziki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…