korokwincho
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 1,054
- 1,269
eti vurugu[emoji41][emoji16][emoji16]aliang za kwanza hizo zina bass ngumu sana ni maalumu kwa ajili ya kubighudhi wapangaji wengine.
ila ktk viwango vya mziki kama unavyojua mchina na haya madude yake bado.so libebe kwa minajiri hiyo ya vurugu sio ubora wa mziki.
Amini kwamba🤣🤣🤣
Uliipatia wapi kiongozi namie niende kusakanyaMimi niliamua kuingia kwenye soko la used nikabeba zangu soundbar ya VIZIO V5.1
Asee hii kitu ni balaa kwenye movie hata music pia. Jaribuni kuitafuta mtakuja kunipa mrejesho hapa.
Hapa magetoni kwangu mziki wanaukubali maana niliweka crossover ya 5ways kwaio mziki umechujwa hatari , Ile clear crisp sound with deep bass ipo ya kutosha yaan hatali saana yaan tu nmebaki kuweka deep bass with low sound ila kitu kinawamba mpaka mtaa wa jilani 😅Baada ya kukamilisha hii sound lazma upewe notisi ya kuhama hapo mjengoni.
Nilishangaa mwenye nyumba anakuja kunidai Kodi akataka kuingia ndani nikamkalibisha kuingia tu akakuta mizigo imeMwangalia Hadi akasahau kuesabu Hela akabaki anaziangaliaa baadae akaondokasio kuhama tu mjengoni Bali ahame na mkoa kabisa
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Hahahah ule mzigo nyoko sana. Nikipiga magonga yangu lazma niuseti mjengoni.Nilishangaa mwenye nyumba anakuja kunidai Kodi akataka kuingia ndani nikamkalibisha kuingia tu akakuta mizigo imeMwangalia Hadi akasahau kuesabu Hela akabaki anaziangaliaa baadae akaondoka
Juzi kati nilienda shishi food nikakuta kaset up na mzigo wa WICALU jamaa kumbe nae yupo vizuri sana sema amekosa Marketing technique na kujiongeza kidogo. Angekuwa ananunua mabox kwa ajili ya Amplifier /Reciever yenye logo yake ya WICALU kutoka china anakuja kuyafungia speaker. Anakuwa na Series yake ya miziki.Nilishangaa mwenye nyumba anakuja kunidai Kodi akataka kuingia ndani nikamkalibisha kuingia tu akakuta mizigo imeMwangalia Hadi akasahau kuesabu Hela akabaki anaziangaliaa baadae akaondoka
Yaan Kuna watu wakipita Kwa nje wanajifanya wanaongea na sim kumbe anainjoy mziki mnene ,🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Hahahah ule mzigo nyoko sana. Nikipiga magonga yangu lazma niuseti mjengoni.
Kabisa aisee jamaa akipata box toka China waweke na logo yake itakua balaa maana mziki wake Ni noma Sana ,,ningekua na mpunga mrefu ningewekeza kwa huyu mwambaJuzi kati nilienda shishi food nikakuta kaset up na mzigo wa WICALU jamaa kumbe nae yupo vizuri sana sema amekosa Marketing technique na kujiongeza kidogo. Angekuwa ananunua mabox kwa ajili ya Amplifier /Reciever yenye logo yake ya WICALU kutoka china anakuja kuyafungia speaker. Anakuwa na Series yake ya miziki.
Bei gani?Mimi niliamua kuingia kwenye soko la used nikabeba zangu soundbar ya VIZIO V5.1
Asee hii kitu ni balaa kwenye movie hata music pia. Jaribuni kuitafuta mtakuja kunipa mrejesho hapa.
Vp bado ipo
bado ipoVp bado ipo
Mkuu ngoja nijichange na uhakika lazima nuvute hilo dundobado ipo
wewe tuMkuu ngoja nijichange na uhakika lazima nuvute hilo dundo
Bei gani na model gani mkuu! naweza tumia kwenye system yeyote ya mziki?Hapa magetoni kwangu mziki wanaukubali maana niliweka crossover ya 5ways kwaio mziki umechujwa hatari , Ile clear crisp sound with deep bass ipo ya kutosha yaan hatali saana yaan tu nmebaki kuweka deep bass with low sound ila kitu kinawamba mpaka mtaa wa jilani 😅
Amplifier (boschman)Bei gani na model gani mkuu! naweza tumia kwenye system yeyote ya mziki?
Yaan hapa sielewi Chochote[emoji23][emoji23][emoji23]Amplifier (boschman)
mixer (boschman)
Crossover (audiobank) 5 ways
4 Midi speakers (sony)
2 Tweeters
Power supply 400w
Speakers wires
RCA cables
4 gauge amplifier power wires
3 Pioneer speakers TS 309d4
3 enclosure box for sub
Budget ni Almost from 1.5m
Yes unaweza tumia kwenye system yoyote ya mziki
Mfano unaweza nunua receiver ya Digital audio decoder DTS Dolby Digital 5.1 Audio Decoder ili update sorround music system yako