Kodtec Speaker systems

Kodtec Speaker systems

Mimi niliamua kuingia kwenye soko la used nikabeba zangu soundbar ya VIZIO V5.1
Asee hii kitu ni balaa kwenye movie hata music pia. Jaribuni kuitafuta mtakuja kunipa mrejesho hapa.
Uliipatia wapi kiongozi namie niende kusakanya
 
Baada ya kukamilisha hii sound lazma upewe notisi ya kuhama hapo mjengoni.
Hapa magetoni kwangu mziki wanaukubali maana niliweka crossover ya 5ways kwaio mziki umechujwa hatari , Ile clear crisp sound with deep bass ipo ya kutosha yaan hatali saana yaan tu nmebaki kuweka deep bass with low sound ila kitu kinawamba mpaka mtaa wa jilani 😅
 
Nilishangaa mwenye nyumba anakuja kunidai Kodi akataka kuingia ndani nikamkalibisha kuingia tu akakuta mizigo imeMwangalia Hadi akasahau kuesabu Hela akabaki anaziangaliaa baadae akaondoka
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Hahahah ule mzigo nyoko sana. Nikipiga magonga yangu lazma niuseti mjengoni.
 
Nilishangaa mwenye nyumba anakuja kunidai Kodi akataka kuingia ndani nikamkalibisha kuingia tu akakuta mizigo imeMwangalia Hadi akasahau kuesabu Hela akabaki anaziangaliaa baadae akaondoka
Juzi kati nilienda shishi food nikakuta kaset up na mzigo wa WICALU jamaa kumbe nae yupo vizuri sana sema amekosa Marketing technique na kujiongeza kidogo. Angekuwa ananunua mabox kwa ajili ya Amplifier /Reciever yenye logo yake ya WICALU kutoka china anakuja kuyafungia speaker. Anakuwa na Series yake ya miziki.
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Hahahah ule mzigo nyoko sana. Nikipiga magonga yangu lazma niuseti mjengoni.
Yaan Kuna watu wakipita Kwa nje wanajifanya wanaongea na sim kumbe anainjoy mziki mnene ,
Asa Jana usiku nilikua nmeweka goma la akon don't matter, Ile nimeupoz tu mjamaa Mmoja akatema shit "oya jamaa achia Hilo aseeh" nikachekaa mwenyewe room Kisha nikaongeza sauti alafu nikaplay tena nikasikia miluzi mingi Kwa nje watu wanashangilia yaan wanafanya geto langu kuwa Sehem ya kuinjoy miziki😅😅
 
Juzi kati nilienda shishi food nikakuta kaset up na mzigo wa WICALU jamaa kumbe nae yupo vizuri sana sema amekosa Marketing technique na kujiongeza kidogo. Angekuwa ananunua mabox kwa ajili ya Amplifier /Reciever yenye logo yake ya WICALU kutoka china anakuja kuyafungia speaker. Anakuwa na Series yake ya miziki.
Kabisa aisee jamaa akipata box toka China waweke na logo yake itakua balaa maana mziki wake Ni noma Sana ,,ningekua na mpunga mrefu ningewekeza kwa huyu mwamba
 
Hapa magetoni kwangu mziki wanaukubali maana niliweka crossover ya 5ways kwaio mziki umechujwa hatari , Ile clear crisp sound with deep bass ipo ya kutosha yaan hatali saana yaan tu nmebaki kuweka deep bass with low sound ila kitu kinawamba mpaka mtaa wa jilani 😅
Bei gani na model gani mkuu! naweza tumia kwenye system yeyote ya mziki?
 
Bei gani na model gani mkuu! naweza tumia kwenye system yeyote ya mziki?
Amplifier (boschman)
mixer (boschman)
Crossover (audiobank) 5 ways
4 Midi speakers (sony)
2 Tweeters
Power supply 400w
Speakers wires
RCA cables
4 gauge amplifier power wires
3 Pioneer speakers TS 309d4
3 enclosure box for sub
Budget ni Almost from 1.5m

Yes unaweza tumia kwenye system yoyote ya mziki
Mfano unaweza nunua receiver ya Digital audio decoder DTS Dolby Digital 5.1 Audio Decoder ili update sorround music system yako
 
Yaan hapa sielewi Chochote[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom