Kodtec Speaker systems

Yaan hapa sielewi Chochote[emoji23][emoji23][emoji23]
Kiukwel hapa inatakiwa uwe na knowledge ya kutosha in electronics pia unatakiwa uwe umefanya research mitandaoni jinsi ya kufanya customization ya sound system yako according to your preference .

NB poor wiring and poor crossover settings results to poor sound and damage subs at distortion.
Also low budget amplifier power cables may results cable to overheat and burn and damage amplifier,
Especially for amplifier with no MOSFET power protector kama deochestra na nyinginezo za design hiyo.
 
Yani una sub tatu za pioneer? Unaziendesha na nn? Na hizo mids na twita
 
Tuone hio mixer
 
Haifunguki
Mbona unatutumia picha za Google au ndo una imaging Kama spika zinavo imaging
 
Kwenye utafiti wangu nimekuja kugundua kumbe kodtec wanatumia subwoofer Kampuni ya Salpido AMX kutoka Malaysia
KODTEC KT 2812/ KODTEC KT 2913 NI ==SALPIDO AMX 5.👇👇👇
Bongo ingekuja hio kampuni ungenunua? Hata Toyota na ma kampuni mengine wanafanya hayo Sana


Ila zingekuja zinaitwa seapiano zingeuza Sana

Seapiano Ina jina Tanzania
 
Jbl kwenye sound za magari hayupo hata

Hilo litakuwa Kenwood 3000 au kina pioneer
 
Me nilitest kwa wakala wao kabisa na nilipewa remote sikuipenda

Hio bass yake Nina uhakika haina hata 100w , sio deep Ni ya kawaida sana
 
Yani una sub tatu za pioneer? Unaziendesha na nn? Na hizo mids na twita
It's the matter of wiring,
Subs are connected at the right side of an amplifier, where
Two (2) subs are connected at 2 ohms separately.
1 sub is connected at 4 ohm bridged from an amplifier output.
Mids and Tweeters are connected at the left side of an amplifier.
You Get it.?
 
But mind you,
Pioneer ukiifunga vizuri aseeh hizi mashine ni NY*k aseeh ,
Nimeamza kupumguza wageni ndani kila mtu anataka kuja kuangalia kitu kinachotikisa ardhi ni Nini alafu mids 3 na tweeter nazo ziko nne zinapiga sorround crisp flan hatari , kiukwel sijawai kujutia sauti ya car system that's why is so expensive,
Na Kuna sauti flani Huwa ni nzito saana kiasi kwamba lazima ufunge mlango wa chumba ukausikilizie Kwa nje ndo utauvumilia, .
But nowadays nimepunguza kusikiliza sauti kubwa za bass , naskiliza just for normal volumes .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…