Kodtec Speaker systems

Habari wakuu?,
kama Kuna mtu atapata spika za 8 inches za pioneer au Sony zenye 2ohm dual voice coils

Pamoja na za 10 inches za pioneer zenye 2ohm dual voice coils kwenye duka la car audio accessories lolote tupeane mawasiliano na taarifa na picha.

Maana Kuna mtu amechaniwa spika yake ya seapiano 10inch na Ngoma za Amapiano.
Na mwingine anataka nimbadilishie ya 8 inch nimwekee spika nzito ya nchi 8 ya gari Kwa external amp.
Asanteni.
 
Product descriptionEdifier S350DB 2.1 Speaker Kit

Specifications:

  • Audio output channels: 2.1 channels
  • RMS rated power: 150 W
  • Recommended usage: Universal.
  • Amplification device type: Amplifier
  • Amplification device form factor: Built-in
  • Amplifier frequency range: 30 - 20000 Hz.
  • Satellite speakers RMS power: 80 W
  • Satellite speaker frequency range: 160 - 20000 Hz
  • Satellite speaker tweeter diameter: 1.91 cm (0.75´´).
  • Subwoofer RMS power: 70 W
  • Subwoofer frequency range: 40 - 160 Hz
  • Subwoofer dimensions (W x D x H): 265 x 298 x 312 mm.
  • Power source: AC, AC input voltage: 100 - 240 V
  • AC input frequency: 50 - 60 Hz

Mkuu huu nimekuta mahali nikaupenda sana in terms of muonekano.

Swali ni je frequency zake zinaweza kutupatia Deep, Tight, solid & punchy bass compare na specifications hapo juu?

Extrovert
 
deep na tight kuanzia 30hz kushuka chini

hta 35hz nayo sio haba

ukutane na vinu vinaenda hadi 16hz ni balaaa
 
Sub ya 40 hr hupati deep bass, walau ingekuwa kuanzia 30 kushuka mpaka 20
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…