Smart Guy
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 6,808
- 6,934
Yaani mchicha siyo??Clarity ni highs ama uwezo wa kusikia vocals kwa urahisi kwenye hii system
Ndio mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani mchicha siyo??Clarity ni highs ama uwezo wa kusikia vocals kwa urahisi kwenye hii system
Ndio mkuu
Huu ni toleo linalofata baada ya KT-2913 ndio latest sokoni sahizi. Wanadai lina watts 2OOOSasa mkuu hapo atleast utafute mziki kama huu, kwa pocha tu tauar unaonekana si wa kitoto, kuna mwenye nao?View attachment 2208812
Nimekupata mkuuEeh mchicha
Aseh mi nalivizia sana hili salpido AMX 6 au ( kodtec kt 2912) kibongobongo,Kweli mkuu nimeelewa kazi kazi😀😀😀 hawa jamaa wanatuchezea sema kwakuwa masoko ni tofauti ndio maama wamebadilisha jina. Ila hio sound inakita mno.
Kweli mkuu nimeelewa kazi kazi😀😀😀 hawa jamaa wanatuchezea sema kwakuwa masoko ni tofauti ndio maama wamebadilisha jina. Ila hio sound inakita mno.
mkuu watts 2000 continuous in power (rms ) au output power (pmpo) mimi nilisoma box la lile toleo la kwanza, lina 150w rated power (rms) ya bass, na ina single bass with 2 radiatorHuu ni toleo linalofata baada ya KT-2913 ndio latest sokoni sahizi. Wanadai lina watts 2OOO
RM 799.00 ( Malaysian Ringits) equals to Tsh 418,857.8044~~Tsh500000.
Hio itakuwa peak power output. 2OOOwatts is huge for that system.mkuu watts 2000 continuous in power (rms ) au output power (pmpo) mimi nilisoma box la lile toleo la kwanza, lina 150w rated power (rms) ya bass, na ina single bass with 2 radiator
Nimesoma maelezo mtandaoni wanainadi ina output ya 200w kila spika, yaani 200w X 5 halaf boofer pekee lina 1000w, si balaa hili[emoji23][emoji23][emoji23]. Nikipata feedback ya mmoja wa wamiliki huu mdude nauweka ndani. 470k bei yake kwa sasaHuu ni toleo linalofata baada ya KT-2913 ndio latest sokoni sahizi. Wanadai lina watts 2OOO
Hii si itakuwa maangamizi mzee? Kama hizo figure ni za ukweli mbona litakuwa balaa zito 😂😂😂Ni kwamba sequence ya kodtec subwoofers model za
1.kt 2812, inayozungumzwa na chief extrovert,
2. kt 2913. (Same na ya hio ya juu👆👆)
( Hizi zote zina same specifications)
Yan 150 RMS watts.)
I.e woofer au bass speaker Ina
RMS 100 watts.
Satellites speakers ni 2 na @ speaker Ina 25 RMS watts kwaio x 2= 50 RMS watts.
Therefore system nzima , RMS power ni 150 RMS watts.
3. Kodtec kt 2912.
Hii ni toleo jingine la kodtec updated ya hio ya juu👆👆.
Hii Ina 250 RMS power.
I.e
Bass woofer Ina 150 RMS watts.
Two-Satellite speakers @ 50 RMS Watts x2= 100 RMS watts.
Therefore system nzima Ina 250 RMS watts.
( Hapa naingelea RMS power only )
Asa huu ni unyama saana .
""Feel the power""
Kama Salpido subwoofers wanavyosema
4. Ni Kodtec kt 2911 .
Hii ndo Ile ina 2000 watts total.
-Bass speaker yake Ina 1000watts,
Na satellite speakers ni 1000watts total
i.e @ satellite speaker ni 200 watts x5 = 1000 watts .
Hivyo bas the total watts ni 2000 watts
N.b kwangu Bado naitafuta hii kwenye mastores ya mtandaoni Ili nijue source ya toleo hili jipya ni wapi pamoja na real subwoofer specifications Zake.
But to me naipenda salpido AMX 6 au kodtec kt 2912 model
( Asanten)
Ngoja nikacheki Kodtec kariakoo kama wameileta dah ni msala aisee 😂😂😂!!!Nimesoma maelezo mtandaoni wanainadi ina output ya 200w kila spika, yaani 200w X 5 halaf boofer pekee lina 1000w, si balaa hili[emoji23][emoji23][emoji23]. Nikipata feedback ya mmoja wa wamiliki huu mdude nauweka ndani. 470k bei yake kwa sasa
2812 tu inatosha mzee hio ya watts 2OOOw itakuwa mauaji aiseeAseh mi nalivizia sana hili salpido AMX 6 au ( kodtec kt 2912) kibongobongo,
Yaan Lina sura ya utata Ila mmbess unaotoka humo, khaah!! Yaan kama jbl deep craziest bass
Mzee umeichambua vyema sana, mi pia 2812 ndio naielewa imekaa kibabe sanaNi kwamba sequence ya kodtec subwoofers model za
1.kt 2812, inayozungumzwa na chief extrovert,
2. kt 2913. (Same na ya hio ya juu👆👆)
( Hizi zote zina same specifications)
Yan 150 RMS watts.)
I.e woofer au bass speaker Ina
RMS 100 watts.
Satellites speakers ni 2 na @ speaker Ina 25 RMS watts kwaio x 2= 50 RMS watts.
Therefore system nzima , RMS power ni 150 RMS watts.
3. Kodtec kt 2912.
Hii ni toleo jingine la kodtec updated ya hio ya juu👆👆.
Hii Ina 250 RMS power.
I.e
Bass woofer Ina 150 RMS watts.
Two-Satellite speakers @ 50 RMS Watts x2= 100 RMS watts.
Therefore system nzima Ina 250 RMS watts.
( Hapa naingelea RMS power only )
Asa huu ni unyama saana .
""Feel the power""
Kama Salpido subwoofers wanavyosema
4. Ni Kodtec kt 2911 .
Hii ndo Ile ina 2000 watts total.
-Bass speaker yake Ina 1000watts,
Na satellite speakers ni 1000watts total
i.e @ satellite speaker ni 200 watts x5 = 1000 watts .
Hivyo bas the total watts ni 2000 watts
N.b kwangu Bado naitafuta hii kwenye mastores ya mtandaoni Ili nijue source ya toleo hili jipya ni wapi pamoja na real subwoofer specifications Zake.
But to me naipenda salpido AMX 6 au kodtec kt 2912 model
( Asanten)
HHaswaaaah😂😂2812 tu inatosha mzee hio ya watts 2OOOw itakuwa mauaji aisee
Daah we kukumdogo, ni kweli hayo usemayo,?Hizi brand mbovumbovu sana. Bora mtu uchukue kitu cha Bosse utulie
Kiukweli Siku nmesoma maelezo Yako ya mwanzon kuhusu kodtec niliamisha demand curve yangu from x boom LG to kodtec in terms of cost price benefit and dynamic sound qualityNgoja nikacheki Kodtec kariakoo kama wameileta dah ni msala aisee 😂😂😂!!!
Ile KT-2812 tu nilimshawishi mwanangu korokwincho aichukue mambo ambayo aliyasikia mle mpaka sasa kashakula tunda kimasihara 😒sana maana kila mchumba anayeishi jirani anashawishika kwenda kusikiliza kinu magetoni kwake matokeo yake wanaliwa kimasihara😂
Kweli Kaka coz Kuna Sehem niliona wameandika 2000w pmpo .Ngoja nikacheki Kodtec kariakoo kama wameileta dah ni msala aisee 😂😂😂!!!
Ile KT-2812 tu nilimshawishi mwanangu korokwincho aichukue mambo ambayo aliyasikia mle mpaka sasa kashakula tunda kimasihara 😒sana maana kila mchumba anayeishi jirani anashawishika kwenda kusikiliza kinu magetoni kwake matokeo yake wanaliwa kimasihara😂
Hio itakuwa peak power output. 2OOOwatts is huge for that system.
Huenda ni 5Ow kwa sattelites 5 na 25Ow za Subwoofer in RMS. Kwahio 5OOw RMS.