Kodtec Speaker systems

Kodtec Speaker systems

Ngoja nikacheki Kodtec kariakoo kama wameileta dah ni msala aisee [emoji23][emoji23][emoji23]!!!

Ile KT-2812 tu nilimshawishi mwanangu korokwincho aichukue mambo ambayo aliyasikia mle mpaka sasa kashakula tunda kimasihara [emoji19]sana maana kila mchumba anayeishi jirani anashawishika kwenda kusikiliza kinu magetoni kwake matokeo yake wanaliwa kimasihara[emoji23]
Ila tuache ushabiki pembeni, mfano kuna option mbili kati ya hiyo kodtec 2911 ya 2000w (kama wanavyoinadi) na HT yoyote ya LG au sony ya watts buku. Ipi option nzuri? Zote ziwe 5.1
 
Ila tuache ushabiki pembeni, mfano kuna option mbili kati ya hiyo kodtec 2911 ya 2000w (kama wanavyoinadi) na HT yoyote ya LG au sony ya watts buku. Ipi option nzuri? Zote ziwe 5.1
Option nzuri itategemea na mtu mwenyewe ana
upenzi wa kitu gani zaidi!

Mfano mtu wa name brand ataangukia Sony au LG ila mtu wa Sound Quality chaguo huenda likawa tofauti.
 
Kiukweli Siku nmesoma maelezo Yako ya mwanzon kuhusu kodtec niliamisha demand curve yangu from x boom LG to kodtec in terms of cost price benefit and dynamic sound quality
Yeah mi huwa nasimamaga na ukweli tu, watu walinichukulia poa ila kimsingi Quality ya sauti ya Kodtec is far superior na hata aesthetics and looks huwezi fananisha na LG X Boom.

Mimi ni music enthusiast toka niko chalii, i am
passionate about sounds na vinu. Huwa nina sikio zuri la muziki nikiusikia tu. Nilipoisikia tu sound ya Kodtec niliifata dukani kuisikiliza kwa karibu na nilielewa tu kitu ya maana. Thus why na recommend mtu yeyote anaependa quality katika mziki asisite kuitafuta hii.
 
Hahahahah sio hata punchy, yale ni boom bass ndio maana wakaliita X boom...punchy ni gut feeling bass ama Deep bass katika frequency za 2OHz-35Hz.

Hio system ya Kodtec inakupa punchy sababu inafikia hizo frequency response kwa msaada wa bass radiators inatoa bass nzuri kuliko hata ile ya LG.
p ety LG xboom🤣🤣🤣 daah yaan yale nilikuja kugundua kuwa Yana punchy bass
 
Kuna haice Moja sijui ilikua imefungwa JBL ? Ilikua inapiga mziki 1mnene 2mzito kinoma mpaka ilipikua inafika stendi ikiwa ya mwisho abilia wa kwenye hais za mwanzon wakisikia tu, wote wanashuka wanaamia kwenye dundo zito , abilia wanajaa mpaka mlangon, dereva anapita pemben anaondoka nao,
 
Hahahahahah JBL wana bass speakers nzuri sana wakifuatiwa na pioneer.
 
hivi hizi mambo mbona kama wanzipotezea hivi bongo!!!

kwa mfano pioneer zina nguvu sana zile,lakini unakuta mjinga kajaza utumbo tu dukani.
Wabongo wanajali kujaza duka tu sio na bidhaa nzuri ila ilimradi tu. Mi ningekuwa na mtaji nikawa na duka la sound ningekuwa nauza miziki ya maana sana bei zile zile rafiki. Kuanzia 25O,OOO - 1,OOO,OOO! Ila siweki uchafu dukani
 
Ahaa
Hahahahah sio hata punchy, yale ni boom bass ndio maana wakaliita X boom...punchy ni gut feeling bass ama Deep bass katika frequency za 2OHz-35Hz.

Hio system ya Kodtec inakupa punchy sababu inafikia hizo frequency response kwa msaada wa bass radiators inatoa bass nzuri kuliko hata ile ya LG.
Sema hua hiz terminology za English kama , tight bass, punchy bass, na loud bass zinanichanganya ,
Ila deep bass Mzee apo nipo makini saana nikiskia tu lazima nisimame niinjoy hata Kwa dakika kadhaa kama ni kwenye Gali nasimama pemben nikizugia kuchat kumbe nipo naburudika
 
Najalibu kukuelewa kaka , coz hata Mimi kwenye mziki wa Gali natamani siku Moja nifunge MZIKI WA SUNDOWN BASS SUBWOOFER 15" 2500 RMS WATTS.
Yaan mpaka mtu unaamua kwenda kwenye duka kubwa na lamaana kwenye macho Yako kumbe ndani kajaza microphone, na tusubwoofer kama chupa ya chai yaan mpaka mtu unakata tamaa,
Ndo maana hata Mimi hua najiuliza kama hivi na sijawai Kuta mada zinazousiana na hizi sundown
hivi hizi mambo mbona kama wanzipotezea hivi bongo!!!

kwa mfano pioneer zina nguvu sana zile,lakini unakuta mjinga kajaza utumbo tu dukani
 
Samaan Kwa kutoka nje ya mda kidogo Ila nilitaka kujua kama Kuna anaefaham kuhusu hili diaba la umeme?
Screenshot_20220717-151543.png
 
Yaan Hilo naliona kwenye YouTube saana linatangazwa na wamarekan Kwa series tofaut kuanzia 8" mpaka 18"
Ila sasa Hilo Domo lake la juu kama tube ya trecta ndo inanimaliza ,
Na ukiangalia wakiwa wanayafanyia test kwenye Gali , yaan unaona kama vile kwenye Gali milango inataka kushuka, vioo na body la Gali vinanepanepa kinoma kutokana kishindo kizito Cha huo mziki, asa najiuliza kama bongo hizi Mali zipo wakuu.
 
Kwa wale Music enthusiasts wenzangu last Weekend katika kuzurura katika viunga vya M.City i came across duka la Kodtec. Hawa jamaa wanauza appliances zao mbali mbali pale zikiwemo Subwoofers.

Kishindo cha mziki wenye vipimo madhubuti ambacho sikukitegemea kilipenya katika ngoma zangu za masikio na Ilibidi nizame chap kuuliza jamaa wanioneshe hicho kitu kinachotoa huo mziki. Cha ajabu ilikuwa ni subwoofer box moja hivi with sleek design.

Ukaguzi uliendelea na kuona ni subwofeer box yenye bass speakers 3! 2 Deep bass 12" Speakers kushoto na kulia wakati mbele kuna 10" Mid bass (woofer)! Hii subwoofer iko accompanied na Speaker ndogo za kupiga mid and high frequencies ambazo zinafanikisha hii Kodtec iwe super clear sound system.

Tukija kwenye wattage hii system ni 300Watts RMS value! Utaona kwamba Peak Music Power Output ni obvious itakuwa around 1200w! The bass effects that come out of this subwoofer ni exceptional you hear both boomy and dynamic bass effortlessly sijui wametumia amplifier aina gani humu ila mziki una sound kama mziki wa gari kabisa 😁😁😁!

Kimsingi nilikuwa naona subwoofer za 2.1 Channel ni utopolo ila sio kwa Subwoofer za Kodtec wazee, naomba niombe radhi kwa wamiliki wote wa Speaker Systems za Kodtec!

View attachment 1698253
Mkuu ulichukua mzigo au ndo unajichanga?
 
Ahaa

Sema hua hiz terminology za English kama , tight bass, punchy bass, na loud bass zinanichanganya ,
Ila deep bass Mzee apo nipo makini saana nikiskia tu lazima nisimame niinjoy hata Kwa dakika kadhaa kama ni kwenye Gali nasimama pemben nikizugia kuchat kumbe nipo naburudika
[emoji16][emoji16][emoji16] wewe kama mimi kabisa, mi napenda sana mziki mzuri ambao unasikia vyema katika kila angle na mchujo mwingi + bass la kuangusha panya darini.
 
Back
Top Bottom