Kodtec Speaker systems

Kodtec Speaker systems

Hio hio mkuu uliochukua wewe
Niliochukua Mimi ni KODTEC KT 2913.

Specifications:
•Power distribution 25 Watt x 2 +100 Watt RMS =150 watts RMS.
(1 bass woofer 100 watts RMS and
satellites speakers 25 watts rms@X2 = 50 Watts RMS that makes a total of 150watts RMS)
•Harmonic distortion 1% 1 Watt 1kHz
•Frequency range 30Hz - 20kHz
•Signal/Noise ratio 72dB
•Separation 50 dB
•Sensitivity 380mV
•Nominal Impedance 4ohms bass,
4ohms satellite
•Built In USB & Card Reader
 
Mzee kwanza haina settings za ku regulate sauti
independently. Kuna EQ presets button ya rock,pop,jazz nk.

Bass haijai vyema ni almost imemezwa na mids za sorround speakers zile. Kwa bass lovers its a serious turn off. Inshort kelele ziko juu kuliko bass na ili uisikie bass walau kidogo ni labda u turn volume hadi 6O.

Niliomba remote yake niangalie huenda kuna button ya kujazia bass mle ila sikufanikiwa kuipewa. Better of hizi model za KT-2913 na KT-2812 zenye passive bass radiators for serious deep bass.

This Kodtec 2OOOw hometheatre is a serious joke mazee.
Nilipita pia leo kwenye Store yao msimbazi pale 😅
 
Niliochukua Mimi ni KODTEC KT 2913.

Specifications:
•Power distribution 25 Watt x 2 +100 Watt RMS =150 watts RMS.
(1 bass woofer 100 watts RMS and
satellites speakers 25 watts rms@X2 = 50 Watts RMS that makes a total of 150watts RMS)
•Harmonic distortion 1% 1 Watt 1kHz
•Frequency range 30Hz - 20kHz
•Signal/Noise ratio 72dB
•Separation 50 dB
•Sensitivity 380mV
•Nominal Impedance 4ohms bass,
4ohms satellite
•Built In USB & Card Reader
yeeeah kma yangu kumbe hii subwoofer inatoa watss100 tu daaah ila ni msala

hta kale ka jbl cha kichina kinatoa 250watts kinatikisa paa ya nyumba

fikiria spl 3002d4 pioneer. inatoa 1000watss rms

ni balaaa sanaaaaa
 
hapo china ukienda unafyatua miziki kwa jina lako, ni pesa yako tu,hata kodetec hana kiwanda ni mkinga mmoja anaitwa Konzo wa pale makete njombe
Huyu jamaa anakiwanda kabisa anazalisha mpaka cm ni nakaribia products nyingi kwajili ya matumizi ya nyumbani kweli anaitwa Konzo baba yake yupo Uyole products zake binafsi nimeanza kuziona sokoni since 2009
 
kwenye soko electronics na hata la music alikamata soko kabla ya hata kina seapiano,hapo kati kuna miaka product zake zilipotea, akapoteza soko kubwa sana ambalo tayari alikuwa amelikamata, amerudi brand nyingi zishatake over
 
naomba mawasiliano ya mtu anayeuza zile tower speakers za mtumba na av receivers
 
Wazeee katika zunguka zangu kufanya utafiti wa hizi sound zenye deep sound kali JBL soundbar 5.1 channel ile mikito yake imenibadilisha maamuzi sana
Hata huyu kodtec hatoboi hapo sema ni vile bei za jbl ni kisanga kibongo bongo
Wauzaji wengi wanazi overprice sana,sasa sijajua ni ushuru mkubwa au tamaa ya kutaka faida kubwa
 
Nimeambiwa kinu cha JBL 9.1 channel ni balaa zito bei yake 2.5M unapata
 
Back
Top Bottom