Koffi Olomide achapwa tena

Koffi Olomide achapwa tena

Frumence M Kyauke

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2021
Posts
630
Reaction score
1,262
KOFFI OLOMIDE ACHAPWA TENA
Baada ya kukosekana kwa miaka 11, Koffi Olomide alitarajiwa kutumbuiza katika ukumbi wa Paris La Defense Arena, mojawapo ya kumbi kuu za burudani barani Ulaya, akirejea Ufaransa.

Msanii huyo maarufu nchini Congo na Afrika, ambaye kwa sasa anaishi Ufaransa, ni miongoni mwa Waafrika ambao wameuza albamu nyingi zaidi barani Ulaya na anaendelea kuwavutia wengi kwenye kumbi za burudani.

Lakini katika siku za hivi karibuni amerejea kwenye vyombo vya habari kwa makala nzito. Kesi ya "le Grand Mopao" wanenguaji wa kike wanne wa zamani wa dansi.

Anashutumiwa nini?​

Mwanamuziki huyo mwenye umri wa miaka 65 alihukumiwa kifungo cha miaka minane jela na Mahakama ya Rufaa ya Versailles mjini Paris mnamo Jumatatu, Oktoba 25.
Anashtakiwa kwa kuwadhulumu kingono na kuwabaka wanenguaji wanne wa kike waliokuwa wakicheza dansi wakati walipofanya naye kazi kwenye tamasha nchini Ufaransa.

Hukumu ya kwanza ya mashtaka, iliyopewa jina la "hatari," sasa inataka hukumu nzito zaidi kwa "mtu mwenye nguvu" maarufu duniani kwa mara ya kwanza hadharani kuhusu mashtaka dhidi yake.

Mnamo 2009, Koffi alikimbilia DR Congo lakini aliahidi kujitetea dhidi ya madai hayo.
Mnamo 2012, Antoine Agbepa Mumba, ambaye jina lake halisi lilihojiwa kuhusu ubakaji wa wacheza dansi wanne, hakufungwa lakini baadaye mahakama ya eneo hilo ilimhukumu kifungo cha miaka miwili jela kwa kosa la "kumnyanyasa kingono mtoto wa miaka 15".

Mwimbaji huyo aliamriwa kulipa faini ya euro 5,000 na riba kwa mmoja wa wacheza dansi wake.

Mahakama ya Nanterre pia ilikuwa imemuamuru kulipa faini sawa na hiyo kwa kuwasaidia wanawake watatu kuingia Ufaransa kinyume cha sheria.
Wizara ya Utawala, ambayo ilikuwa imeomba afungwe kwa miaka saba, ilikata rufaa dhidi ya uamuzi huo.

Koffi Olomide ambaye mara kadhaa amekuwa akisema hadharani kuwa ananyanyaswa, anaendelea kukanusha tuhuma za ubakaji.

Mnamo mwaka wa 2019, aliiambia TV5 Monde: "Mradi nikumbuke kuwa nimekosea na ninatumai kuwa siku moja wanawake hawa watakuja na kusema kwamba wamedanganya kuhusu madai hayo."

Mashtaka dhidi yake yanawezekana kuwa yalifanyika wakati wa matamasha nchini Ufaransa kati ya mwaka 2002 na 2006.

Wanawake hao wanamshutumu kwa kuwapa hifadhi katika nyumba iliyo karibu na Paris na kuwalazimisha kufanya naye mapenzi, ili baadhi yao waweze kudumu kukaa hapo.
Mbele ya majaji, Koffi alikanusha mashtaka hayo waziwazi, akidai kuwa wanawake hao "walisafiri kwenda na kutoka Champs-Élysées", na wakati mwingine "walidai wasindikizwe"

Waendesha mashtaka wanasema walisindikizwa kwa nguvu.
Koffi alithibitisha kuwa ana "haki ya kuwasimamia" walipoondoka, ili kuhakikisha kuwa hawatoroki Ufaransa kutokana na kazi waliyokuwa nayo.
Kwake, madai hayo yametungwa na wanawake hao wanne wanaotafuta namna ya kuendelea kuishi Ufaransa.
Kuhusu jinsi wanawake waliotoroka kutoka kwenye nyumba waliyokuwa wakiishi na kwenda kuandamana, mwimbaji huyo alijibu, "Hiyo ni sinema tu ... muda wao wa kurudi Kongo kulikuwa karibu, walijua kabisa kwamba wanarudi Kongo." Kwa hivyo walitaka kukaa Ufaransa "kwa gharama yoyote," alisema.
Wanawake hao wanasema hawajaweza kurejea Kongo kwa kuhofia kulipizwa kisasi.

Koffi Olomide pia alikanusha madai ya ubakaji. Wanawake hao wanasema wakati fulani aliwaalika hotelini, wakati mwingine katika studio ya muziki, na kuwalazimisha kufanya naye mapenzi.
Koffi alisema, "hapana, sijawahi kuwa peke yangu na hawa wasichana, unawezaje kufanya mapenzi studio? Siwezi kuwafikia!
"Hakuna ushahidi wa kuunga mkono madai yaliyotolewa na washtaki hawa."
Mahakama ilisema itatangaza uamuzi wake mnamo Desemba 13.

Sheria inasemaje?​

Unyanyasaji wa kijinsia kwa mtoto wa miaka 15.
Chini ya sheria ya makosa ya jinai , nchini Ufaransa, ni kosa kwa "kitendo cha mtu mzima, kutumia au kufanya ngono na mtoto wa miaka 15, bila ubakaji wowote au nguvu yeyote."
Mfungwa huyo anahukumiwa kifungo cha miaka saba jela na faini ya Euro 100,000 .
Kwa mujibu wa sheria, "umri wa miaka 15" inamaanisha ni mtoto aliye chini ya miaka 15.

Maelezo ya sauti,
Koffi Olomide atoa wimbo mpya kuwaomba msamaha akina mama Afrika

Kesi nyingine zinazomkabili Koffi​


Koffi ana kesi nyingine zinazomkabili nchini Ufaransa , mwaka 2012 alifungwa gerezani kwa kipindi cha miezi mitatu baada ya kushtakiwa kumpiga na kumuumiza mtayarishaji wa muziki.
Kufuatia shutuma za mtengeneza filamu Harvey Weinstein, kuhusu shutuma za ubakaji ambazo zilitikisa ulimwengu.
Tangu kampeni ya #MeToo ilipomalizika, kumekuwa na kampeni nyingine ambazo ziliwataka wanawake kupinga unyanyasaji wa kingono na kuwashtaki wahusika.

Diamond Platinumz: Tangu nikiwa mdogo navutiwa na muziki wa Koffee Olomide
Kuanzia mtayarishaji filamu Bill Cosby mpaka msanii R. Kelly wengi wametulia na wameharibu ajira zao.
Lakini madai mengine bado hayajapata suluhu, kwa kukosa ushahidi wa kutosha.
Kwa upande wake, Koffi Olomide, kwa upande mwingine, alielezea kuwa ni uzushi, mara nyingi kurudia , "Sijawahi kumpiga mtu au kumbaka mtu au kubaka watu."
Kesi yake ambayo itasikilizwa Desemba 13, inaweza kuathiri kazi yake ya muziki, mwanamuziki huyo mwenye miaka 65- ambaye anakabiliwa na kesi kadhaa nchini Ufaransa.

Baadhi ya mashtaka yanayomkabili :​


Mwaka 2018, Zambia alishtakiwa kwa kumuacha mpiga picha wake
Mwaka 2016, alikamatwa Nairobi na kurudishwa kwao baada ya kumpiga mnenguaji wake wake wakati anawasili Kenya. Video ilisambaa mtandaoni , na kuwakasirisha wengi wakitaka kazi yake isitumike.
Mwaka 2012, DRC mtayarishaji wa muziki alimfunga kwa kipindi cha miezi mitatu gerezani.
Mwaka 2008, alishutumiwa kwa kumpiga mpiga picha wa kituo cha televisheni RTGA kilichopo DR Congo na kuharibu kamera yake lakini lakini baadae walipatana nje ya kesi.
Koffi alitarajiwa kuwa na tamasha tarehe 13/02/2021 mjini Paris huko La Defense Arena na kupelekwa mpaka tarehe 27/11/2021, "kwasababu ya janga la corona haswa kutokana na marufuku ya kimataifa," kwa mujibu wa waandaaji , wametangaza.

images - 2021-10-29T163411.957.jpeg
 
baada ya pesa na umaarufu kifuatacho huwa ni kichaa kamili cha kiumbe binaadam.

fikiria mtu kama diamond au harmonize ndani ya ile nyumba anayoishi kwa siku moja anakuwa amefanya mambo mangapi akiwa na nafasi au uhuru[emoji23][emoji23]
 
R Kelly, Chris brown, Michael Jackson, na leo Koffi olomide midume yote hiyo maarufu ishawahi funguliwa kesi kuwa wamebaka, kofi au Chris brown au r Kelly ana nyege gani hadi abake mdada?, kwanza wadada si wanapeleka papa zao kwa hao watu maarufu??
 
R Kelly, Chris brown, Michael Jackson, na leo Koffi olomide midume yote hiyo maarufu ishawahi funguliwa kesi kuwa wamebaka, kofi au Chris brown au r Kelly ana nyege gani hadi abake mdada?, kwanza wadada si wanapeleka papa zao kwa hao watu maarufu??
Ukiondoa kwa matukio tofauti ya Mtu kama R Kelly....Wngi wa hawa huenda wanapatana vizuri kabla lakini wakishapewa hawatimizi tena ahadi...na njia pekee inayobaki kwao Kina Dada ni kutafuta kuwakomoa.

Kila Mwanamke 'gold digger' anatarajia apate mambo mazuri baada ya kupita na Mtu maarufu na mwenye pesa...hivyo ni kweli wanajilengesha na Mijamaa lazima inatoa ahadi lukuki ambazo sasa wakishafanikiwa tu simu hazipatikani tena.
 
yaaani wanawake tume kuwa wengi kiasi kwamba siku hizi tuna baka baada ya ukimwi kuharibu mambo!!...lkn tunasingizia eti tumebakwa na tulivyo washika pabaya me hawafurukuti!

lkn iko siku upepo utabadirika tu!! me wamekuwa wanyonge sana!! sasa sisi ndo tuawa wowa!! yaani ukikataa kuni wowa najibakisha kwako unanilipa!! ukitaka uishi salama na mali zako unani wowa!!

Ila kwa nini msiwaroge tuuu hao mademu??? ili muwe salama??? Roga hakimu demu mwenyewe mahakama yooote waone kizunguzungu! na papuchi zao zizibe fyuuum!!!
 
Back
Top Bottom