Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
My dear umewahi kusikia mauwaji ya Albino Congo?I was thinking the same mshana kuna mcongo rafiki yangu alinisimulia jinsi wasanii wahuko walivo washirikina, pia wengi wamefika walipo kwa damu za watu its obvious lazima watoe hesabu ya matendo yao. Naona ni mwanzo wake kuelekea pabaya huyu imagine teke tu!
Mkuu unajua unapotaja watu kama hao watu wanapata hasira tu.This is what every civilized person wanted to hear...he could even have been jailed a lengthy jail term than this because what he did to his dancer is totally unacceptable. Let this be a lesson to other twits of his calibre. Asante serikali ya Kabila kwa kutenda haki. Hii ingekuwa Tanzania wangemuachia kama vile walivyomuachia Lugumi, kada maarufu wa CCM, aliyekula mabilioni ya walipakodi lakini bado yupo mitaani anakula bata!
View attachment 371372
Ni kweli mana viugomvi vya wanawake ni kukomoana kusiko na kichwa wala miguu sasa mwanaume ukiingia ka una mapenzi ukawaeka hisia maamuzi lazima yawe biased. Ila koffi kanikumbusha msemo wa fikiri kabla ya kutendaHuyo ndio mwanaume sasa, sio unakuta mtu anajibiwa unauliza wewe n sababu, acha wafu wazikane wenyewe.
Kibongo wangejifanya wanachunguza tukio mwaka hafu baadae unashangaa kuwa kesi hamnaIngekuwa kesi zetu zinaendeshwa haraka hvi ingekuwa poa sana
Labda atakuwa ni supporter wa Moise katumbi.Hakuna hata kesi mahakamani?
Ni kutoa amri tu...kamata funga huyo?
Only in Africa!
Sijawahi kusikia ila haimaanishi hawatumii zile science za beyond material.My dear umewahi kusikia mauwaji ya Albino Congo?
dah! nimekumbuka wayback sana kipindi hicho katoa wimbo wake unaosound km tusi vile kibongo bongo, eti namm nikaimba chorus,nilichezea bakora toka kwa bimkubwa cwezi sahau #drout de veto.Congolese music star Koffi Olomide has been slapped with a 18-month jail term by a Kinshasa court without the option of a fine for assaulting one of his dancers in Nairobi.
The jailing of the Congolese musician deepened the free fall in his long career that started with the kicking of one of his dancers at Jomo Kenyatta International Airport (JKIA), Nairobi last Friday.
Mr Olomide was deported alongside three of his female dancers.
Police arrived at his residence in a continuation of perhaps the worst run in Mr Olomide’s fortunes, a painful price to pay for his moment of madness in Nairobi.
According to reports from Kinshasa, a campaign to have him arrested was started by Congressman Zakarie Bababaswe, who had filed a petition on behalf of the Congolese public to have the musician punished for assault.
Mr Bababaswe had in a televised press conference wondered why Mr Olomide was “still walking scot free and yet there was video evidence that he assaulted his dancer in Kenya?”
Incidentally, the congressman and Mr Olomide used to be good friends until they fell out after the musician and Cindy Le Coeur, his lead singer, were accused of belittling him through their songs.
His arrest, which was ordered by the Attorney-General, has been received with jubilation by locals and foreigners, who feel justice must be done to all, and especially in enforcing women’s rights.
Since the video footage of the incident, in which one of Africa’s leading musicians lashed out with a “kung Fu kick” at one of his dancers, Mr Olomide has suffered a huge setback in a career the otherwise mercurial singer, composer and band leader has diligently nurtured for several decades.
Source: Daily Nation
My point was.....Sijawahi kusikia ila haimaanishi hawatumii zile science za beyond material.
Nyinyi ndio watu tusiowahitaji kwenye nchi hii, labda muende kuishi North Korea, kwani viongozi wa serikali wana mapembe? Na waliokuwa wanaongea ushuzi kuhusu Lowasa pale Dodoma kwa nini hawakamatwi? Au kama Lowasa ametenda jinai yoyote ni kwa nini hakamatwi na kufikishwa mahakamani?Hapa viongozi wa vyama vya siasa na dini wanaongea hovyo tu dhidi ya serikali na viongozi wake wakikamatwa kelele kwa kwenda mbele.
Naona karma inamumaliza mzee wa ekotike kitaratibu
Ulizaliwa na mwanamke kweli wewe!? 9months!!! All the pain and suffering she went through!!? Unaanzaje hata kufikiria kumpiga mwanamke!?Huko congo wanawake c ndio wanabakwa kila uchwao!imekuaje huyu kumpiga kateke kamoja tu afungwe?
Lakini karma ndo inayowarudia mtu yoyote mtendaji wa tukio lolote unaweza kusafisha nyota na bado usione ndani hata. Waganga wengine ni matapeli waliokubuhu. Sana vitu vya kishetani huwa havidumu na huanza kuharibu kitu kidogo Mpaka everything kwishney. At the end struggling na vision zako na hard work zinakutoa ila wengine hupenda miteremko.My point was.....
Kama ni issue ya ushirikina Watanzania ndio tumetia aibu, killings of Innocent Albino.
Koffi kama ushirikina umempa mafanikio that well n good hata mimi nipelekeni kwa mganga wake nikanyooshe mambo yangu, kwa sababu ushirikina ni culture mbaya ni ushirikina wakugharimu damu ya mtu, kitu ambacho hakuna mwenye uwezo hapa JF wa kuthibitisha kwamba Koffi ametowa sadaka ya damu.
Issue ya ushirikina siikatai kabisa kwa Koffi maana hata mimi nataka nimtafute fundi wakuendana na huu mdororo wa uchumi wa bwana Ngosha anisafishie nyota.[emoji23]