Koffi Olomide ahukumiwa miezi 18 jela kwa kosa la kumshambulia Dansa wake

Ingekuwa kesi zetu zinaendeshwa haraka hvi ingekuwa poa sana
 
My dear umewahi kusikia mauwaji ya Albino Congo?
 
Mkuu unajua unapotaja watu kama hao watu wanapata hasira tu.
 
Huyo ndio mwanaume sasa, sio unakuta mtu anajibiwa unauliza wewe n sababu, acha wafu wazikane wenyewe.
Ni kweli mana viugomvi vya wanawake ni kukomoana kusiko na kichwa wala miguu sasa mwanaume ukiingia ka una mapenzi ukawaeka hisia maamuzi lazima yawe biased. Ila koffi kanikumbusha msemo wa fikiri kabla ya kutenda
 
Wanadamu kwa kushangilia matatizo ya wengine hamjambo, naomba yakukute wewe alafu uone joto lake likoje..!!
 
dah! nimekumbuka wayback sana kipindi hicho katoa wimbo wake unaosound km tusi vile kibongo bongo, eti namm nikaimba chorus,nilichezea bakora toka kwa bimkubwa cwezi sahau #drout de veto.
 
Sijawahi kusikia ila haimaanishi hawatumii zile science za beyond material.
My point was.....

Kama ni issue ya ushirikina Watanzania ndio tumetia aibu, killings of Innocent Albino.

Koffi kama ushirikina umempa mafanikio that well n good hata mimi nipelekeni kwa mganga wake nikanyooshe mambo yangu, kwa sababu ushirikina ni culture mbaya ni ushirikina wakugharimu damu ya mtu, kitu ambacho hakuna mwenye uwezo hapa JF wa kuthibitisha kwamba Koffi ametowa sadaka ya damu.

Issue ya ushirikina siikatai kabisa kwa Koffi maana hata mimi nataka nimtafute fundi wakuendana na huu mdororo wa uchumi wa bwana Ngosha anisafishie nyota.[emoji23]
 
Hapa viongozi wa vyama vya siasa na dini wanaongea hovyo tu dhidi ya serikali na viongozi wake wakikamatwa kelele kwa kwenda mbele.
 
Hapa viongozi wa vyama vya siasa na dini wanaongea hovyo tu dhidi ya serikali na viongozi wake wakikamatwa kelele kwa kwenda mbele.
Nyinyi ndio watu tusiowahitaji kwenye nchi hii, labda muende kuishi North Korea, kwani viongozi wa serikali wana mapembe? Na waliokuwa wanaongea ushuzi kuhusu Lowasa pale Dodoma kwa nini hawakamatwi? Au kama Lowasa ametenda jinai yoyote ni kwa nini hakamatwi na kufikishwa mahakamani?

Mphweeeeeeeeeeeeew.....!!
 
Huko congo wanawake c ndio wanabakwa kila uchwao!imekuaje huyu kumpiga kateke kamoja tu afungwe?
Ulizaliwa na mwanamke kweli wewe!? 9months!!! All the pain and suffering she went through!!? Unaanzaje hata kufikiria kumpiga mwanamke!?
 
Lakini karma ndo inayowarudia mtu yoyote mtendaji wa tukio lolote unaweza kusafisha nyota na bado usione ndani hata. Waganga wengine ni matapeli waliokubuhu. Sana vitu vya kishetani huwa havidumu na huanza kuharibu kitu kidogo Mpaka everything kwishney. At the end struggling na vision zako na hard work zinakutoa ila wengine hupenda miteremko.
 
Acha akipate teke la mbavu linauma sana hasa kama ujalitegemea unaweza ukamya pale pale aisee
 
Reactions: MC7
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…