Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Du! Mkuki kwa nguruwe!Nyinyi ndio watu tusiowahitaji kwenye nchi hii, labda muende kuishi North Korea, kwani viongozi wa serikali wana mapembe? Na waliokuwa wanaongea ushuzi kuhusu Lowasa pale Dodoma kwa nini hawakamatwi? Au kama Lowasa ametenda jinai yoyote ni kwa nini hakamatwi na kufikishwa mahakamani?
Mphweeeeeeeeeeeeew.....!!
The power of pussy.Ila tuangalie na upande wa pili. Labda huyo dancer alimprovoke kupita kiasi akashindwa kuvumilia. Ukiona mtu anafika mahali anapiga mtu ujue kuna ishu ambayo ni beyond diplomacy.
Hivi huwa mnaokoteza wapi hizi habari? Kumbe JK alisema ukweli Tanzania kuna viwanda vya uongo!!Hatimaye mahakama imemtia hatiani mwana muziki nguli Koffee Olomide na kumhukumu kwenda jela miezi 18 bila option ya kulipa faini katika gereza lenye ulinzi mkali mjini Kinshasa.
Hili ni kufuatia tukio la kumshambulia mcheza show wake kwa mateke hadharani huko Nairobi Kenya ijumaa iliyopita.
TBC!Hivi huwa mnaokoteza wapi hizi habari? Kumbe JK alisema ukweli Tanzania kuna viwanda vya uongo!!
Pole, Magufuli mwenyewe haangalii huo uvundo wa Nape.TBC!
Baba samira ina maana hadi video zinazowekwa ni za uongo??? Au?Hivi huwa mnaokoteza wapi hizi habari? Kumbe JK alisema ukweli Tanzania kuna viwanda vya uongo!!
DaaahLakini kwa upande wa pili.. Kama angempiga densa wa kiume je mambo yangekuwa kama hivi..!?
Bahati mzuri Kifaransa kinapanda vizuri tu weka video nikutafsirie.Baba samira ina maana hadi video zinazowekwa ni za uongo??? Au?
Jela sijui huwa kuna nuksi na gundu gani huwezi kukaa vizuri hata ukipata mafanikio yanakuwa na misukosuko mingi jaribu kufuatilia watu wengi walio toka ngome.Amekiuka masharti na miko au kuna damu kama si laana vinamuandama...hatatumikia kifungo chote atatoka kwa msamaha wa parole lakini hii yaweza kuwa mwanzo wa mwisho wake