Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo bimdada pamoja na kuambulia mateke, kibarua ndio kimeshaota nyasi. Ila hilo la kumrudisha nyumbani lilikuwa halitoshi alitakiwa ashtakiwe ili ajifunze kuheshimu binaadamu wenzakeNamwonea huruma huyo mdada maana akifika Congo lazima ataipata fresh.
Huyo bimdada pamoja na kuambulia mateke, kibarua ndio kimeshaota nyasi. Ila hilo la kumrudisha nyumbani lilikuwa halitoshi alitakiwa ashtakiwe ili ajifunze kuheshimu binaadamu wenzake
Hivi ingekuwa ni mtu wa kawaida ungeona adhabu hiyo ingekuwa ndio stahili yake, lakini kwa kuwa ni yeye ameondoka salama. Najiuliza hivi yule jamaa aliyemuita kuja kupiga show ndo isha kula kwake? Au Kofi atalipa gharama?Adhabu yake ilitakiwa iwe kifungo cha mwezi mmoja jela,viboko kumi wakati anaanza adhabu yake na vingine kumi wakati anamaliza adhabu yake.
[emoji107] [emoji107] [emoji107]huyu ndio mwanaume wa ukweli....mwanamke akizingua hapo hapo onyesha tofauti yenu sio mambo ya kuongelea pembeni wana midomo domo sana hawa wakina dada
Hivi Kofi atajiepusha vipi na janga la kumlipa promota ili kufidia gharama za onyesho?Bonge la hasara kwa promota
bila unafki dunia haiendi!Wakenya wanafiki.
Mbona Gavana Kidero alimpiga kofi mbunge Rachel Shebesh na hakufanywa kitu?
Na mpaka leo hii bado ni gavana!
Upuuzi mtupu.
Safi sana wakenya, kwa hili mmenifurahisha sana. Huu unafaa uwe mfano wa kuigwa. Mimi nikikuona unampiga mwanamke mbele yangu basi ujue nahusika moja kwa moja, lazima nikupe vitasa vya maana uweke kumbukumbu maishani mwako.
Inaitwa Mae Geri kwenye Goju RyuKwa wacheza kung-fu na tai kwondo lile teke la Mopao linaitwaje tena?
Nategemea watamzuia pia kuingia tena Kenya, na hapa azuiliwe pia