Koffi Olomide, Mzee Wa "Mizigo"

Sijui kwa watu wengine, lakini mimi binafsi namuona Koffi anajisikia sana na majivuno - kitu ambacho unishangaza zaidi yeye ni muhitimu wa Chuo Kikuu mwenye shahada ya hesabati au economics kama sikosei sasa uwa sielewi kwa nini anakuwaga limbukeni!
 
Nakubaliana na ww mkuu...ila ni ukwel usiopingika kuwa mopao alikusanya squad kali kabisa(since bcbg 4x4 ile ya kina manda chante,tshituka mukulu,blaise bula,ngiama makanda,wunda ekokota..nk) ya muzik wa dance ile ya kina fally ipupa.montana kamenga,junior kingombe,lola digital,madogo abarmbwa,Jordan kuss,cardinal,soleil wanga,binda base,felly Tyson,alcapone,fofo la colegien.bulla mpela.kerozene,mbasu..nk...since original bcbg ilivyosambaratika usiku ule pale abjan 1997..jb mpiana alifurukuta mpaka 1999..Na ile show Yake ya zenith 1999 pamoja na kina lusubu mambongo(suzuki),alan mpela,emila,kibens,..nk..ilimbeba...ila since then maison merre wakawa juu...na mopao akawatupa mbali..
 
Mkuu ni vema ukaweka vitu hadharani kwa njia ambayo haitakutia matatani ili kututoa tongotongo,vinginevyo tutaendelea kuishi kwa hisia.
 
Mkuu hata PM sijui umelock mana swez kuku PM
 
Na Mimi pia kuna ' uchawi ' wa Kikongo nimeutumia hivyo sipatikani hovyo hovyo PM. Ngoja niombe ' ridhaa ' ya ' Mizimu ' yangu ili iruhusu Mimi kupatikana kwa PM. Vuta subira!
Dah sawa mkuu, naomba waniruhusu japo dakika 30 tu tutete kidogo mkuu sio hili tu kuna mengine nataka tutete!
 
Dah sawa mkuu, naomba waniruhusu japo dakika 30 tu tutete kidogo mkuu sio hili tu kuna mengine nataka tutete!

Ngoja niwaulize wakikubali nitakujibu kwani na Wao wana ' miiko ' yao juu ya Watu wanaotakiwa kuwasiliana nami kwa PM.
 
Napenda sana ule wimbo Wa selfie tournevis! Ni noma Aiseee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…