kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,105
Isikilizeni ultimatum
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa sawa shukran sana mkuu nimekupata vyema sana.Jamaa alishinda tuzo nne za Kora Africa, akajibatiza Quadra[4] Kora Man!
Ushasema koffi ni msAnii bora ukitoa generation ya kina luamboLeo acha niseme ukweli wakuu,watu wanapenda kutompa mtu sifa zake mpaka afe.
Toka kizazi cha kina Lwambo mpaka sasa kina ferre na fally hakuna msanii wa kumlinganisha na koffi kimuziki apo Congo.Sema watu wanapenda kutukuza vitu vya kale kama kwenye mpira wanavyompaisha Pele na Maradonna wakati messi na Ronaldo wamefanya mengi makubwa tu.
Sasa basi hata kwenye mziki,utasikia sijui Madilu,Papa wemba sijui nani.Ndio wametoa nyimbo kali sana lakini hakuna aliefanya consistency ya nyimbo nyingi kuwa juu kama koffi.
Hata huyo Werrason bado anapaishwa tu kwa nyimbo chache ukifananisha na Koffi.
Tukubali tu wakuu hakuna kama Koffi kwenye muziki wa boringo.
Sio kichato.hiiiiiinapendaga ile ngoma yake twanga photooo
nikiisikiaga nachekaga kijapani tu hohohoho
Isikilize Album nzima utapenda zaidi kuna ngoma inaitwa mickoMimi huwa nikisikia huu wimbo wa Koffi olomide-Loi aisee nitakurupuka hatakama nilikuwa bafuni,huu wimbo huwa unanibamba sana,
Mwanzoni mwa video ya loi manati kubwa inavutwaaaa sanaa.
Hili jamaa inaonekana gemu limelihimili toka miaka na miaka.
Loi.... loi.... loi.... loi.
Heshima kwako.mkuuMkuu wewe furahia tu mziki wa Koffi. Kwa sisi wa enzi hizo tunajua huwezi kuwaweka chungu kimoja hao ulio wataja na Luambo. Franco Luambo Makiadi ni habari nyingine kabisa-ukiongelea muziki wake unaongelea muziki wa TP OK Jazz huenda ikawa bendi bora zaidi kutokea CONGO na Africa kwa ujumla. Hiyo ndio bendi ya Vicky Longomba, Poete Lutumba Simaro, Commandant de Bord Josky Kiambikuta, Ntessa Dalienst, Ndombe Pepe, Sam Mangwana, Madilu System, Djo Mpoy, Kiwakana Aime, Checain Lola Djangi kukutajia wachache. Miaka ya 1980 kwa mfano TP OK Jazz ilikuwa na wapiga solo (5) Franco, Papa Noel, Thierry Mantuika Kobi, Gerry Dialungana Kasia, Dizzy Mandeku-sikiliza nyimbo za wakati huo au wasome hao jamaa kwani wote ni who is who kwenye muziki wa Zaire. Luambo ni mwanamuziki wa kwanza kujengewa SANAMU "monument" huko CONGO miaka 26 bada ya kufariki na kufanyiwa international conference ya kujadili muziki wake. Luambo ana kitu inaitwa "OK Jazz School of Music". Kabla ya Tchacho ujuwe kulikuwa na Rhumba Odemba ambayo bado ipo ndani na nje ya Congo. Kuhusu gitaa ya Franco check hii youtube na pia google "Syran Mbenza & Ensemble Rumba Kongo: Immortal Franco: Africa's Unrivalled Guitar Legend" Kuhusu maisha ya Franco check hiki "Congo Colossus: The Life and Legacy of Franco & OK Jazz Paperback – January 4, 1994 by Graeme Ewens (Author)"
Wikipedia wanasema "
François Luambo Luanzo Makiadi (6 July 1938 – 12 October 1989) was a major figure in 20th-century Congolese music, and African music in general. He is widely referred to as Franco Luambo or, simply, Franco. Known for his mastery of rumba, he was nicknamed the "Sorcerer of the Guitar" for his seemingly effortless fluid playing. As a founder of the seminal group OK Jazz, he is counted as one of the originators of the modern Congolese sound." Sikatai Koffi yuko vizuri sana lakini ukimuweka yeye na Luambo ni sawa na mzee Mwinyi alivyosema "Nyerere ni Kilimanjaro na yeye ni kichuguu". Mkuu furahia Tchacho.
Sio kichato.hiiiiii
Yah au papa morinho yote majina ya wanaeAnhaa kumbe ndio maana Cindy kwenye Abracadabra aliimba Papa Fololoo
MmhKuna ile ya Kamfila Muhaya, Ohoooo, Ohoooo ya miaka ya 90 mwanzoni. Koffi ni habari nyingine jamani.
Hivi unaitwajeWimbo wa Koffi nnaoupenda kuliko zote ni ule unaoimbwa '**** inaumaaa, **** inaumaaaa, **** inauma kwakweli,...**** inaumaaa!!!
Au una maanisha skol ambayo ni biaQuadra kora huwa inamaanisha nini? Pia Tabu fatu hii huwa naisikia sana kwenye nyimbo za wakongo
Namkubali yule dem mnene mweupe sjui anaitwa naniIsikilizeni ultimatum
Massiya natamani nikualike home halafu tusikilize miziki ya Franco aka L'a okanga la ndju pene. Tena kwenye saturi zile mziki wake unatoka bomba vibaya mnoo. Fikiria unasikiliza bisalela au freins a man au Mario. Baba hawamjui Franco hawa.
Ni hilo neno TABU FATU, sijui huwa lina maana ganiAu una maanisha skol ambayo ni bia
sebene lipo?gitaa maana raha ya congo man hata nyimbo ikiwa ya taratibu unacheza kiboss boss hapo ndo koffi alipotuwinMassiya natamani nikualike home halafu tusikilize miziki ya Franco aka L'a okanga la ndju pene. Tena kwenye saturi zile mziki wake unatoka bomba vibaya mnoo. Fikiria unasikiliza bisalela au freins a man au Mario. Baba hawamjui Franco hawa.