Diana Spencer
JF-Expert Member
- Nov 14, 2018
- 3,609
- 5,144
Dayaaa shop!
Napenda hili neno koffi alikilitamka kwenye papa mobimba
Sent using Jamii Forums mobile app
Papa mobimba oohhh..papa mobimba...**2......halafu mtu anaraka kumfananisha na mchafu mmoja hivi...anayejua kucheza na vinena vya wanawake na kuwatekeleza...olomide the legend is here...
Hakuna nafasi tena meza zote zishakufa bukiwanataka watu wa5 walio tayari tushee meza
nafasi ni laki 3 anayetaka pm
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenzangu tusikitike tuHivi kumbe mimi tu ndio sina hela[emoji134][emoji134][emoji134]
Mondi anaimba nini? Kwenye live band ni mbovu kufa..... Usimuweke kundi moja legendary koffi na huyo mpiga kelele wa tandale.... Heshima ichukue nafasi yakeHata diamond angeweza kufanya hivyo na angepata watu ila mostly huconsider watz wa chini Diamond pia ni msanii wa kimataifa msimchukulie poa.
Kwa kifupi hawawezi tuKuna live performance moja ya Mbosso nilisikiliza alikuwa anaimba sjui tuzo gani zile aisee sjui alikuwa na stress but inshort hakuimba kitu.Wasanii wetu wawe wanafanya practise za kutosha kabla ya shoo zao Sio mtu hujiandai vizuri unategemea u perform live vizuri
Roho inaniuma sana kumfananisha nguli koffi na vichaaPapa mobimba oohhh..papa mobimba...**2......halafu mtu anaraka kumfananisha na mchafu mmoja hivi...anayejua kucheza na vinena vya wanawake na kuwatekeleza...olomide the legend is here...
Million 5 kabisa?ningekuwa na pesa afu nipo dar hata million 5 ningetoa
napenda sana muziki wa congo
Sent from my iPhone using JamiiForums
ASAS ya IringaMkuu ASAS ya Iringa au asas za kiserikali
wameinunua show nzima na watatugonga ticket upya au punguzo
niko Bara nawahi Mlimani asubuhi niwatafute Samaki samaki
msaada p/se
African music superstar guilty of rape
Koffi Olomidé guilty of rape of 15-year-old girl
Sent using Jamii Forums mobile app
Aache kupiga show za bure. Anyways kama.ni rahisi afanye tuoneHata diamond angeweza kufanya hivyo na angepata watu ila mostly huconsider watz wa chini Diamond pia ni msanii wa kimataifa msimchukulie poa.
Ila diamond amekunyoosha na anaendelea kukunyoosha..Kiingilio laki moja au milioni moja kwa meza moja yenye viti kumi na tiketi zote zimenunuliwa masaa 24 kabla ya show.
# Gracious Mopao.
# Muziki ya wakubwa.
# Somo kwa Diamond na wenzake: Acheni kupiga show za bure. Zile show Diamond unalipwa na kampuni Dola elfu arobaini upige show ya bure uwanjani kwa AJILI ya kupromote bidhaa au huduma za kampuni hiyo mwisho wa siku zitakuja kuua biashara ya show za muziki Tanzania.
Hiyo itawazoeza vibaya watanzania na mwisho wa siku ukipiga show ya kiingilio people won't show up.
# Kuuza album ilikufa.
# Show za mtu mmoja nazo zilikufa.
# Now mnataka kuua kabisa biashara ya show.
Jifunzeni kwa management ya Koffi. Asas wametoa kibunda cha kutosha kwa Koffi na show kiingilio laki na tiketi zote zimenunuliwa
OkayIla diamond amekunyoosha na anaendelea kukunyoosha..