Koffi Olomide: Special Thread

Koffi Olomide: Special Thread

Hata diamond angeweza kufanya hivyo na angepata watu ila mostly huconsider watz wa chini Diamond pia ni msanii wa kimataifa msimchukulie poa.
Mondi anaimba nini? Kwenye live band ni mbovu kufa..... Usimuweke kundi moja legendary koffi na huyo mpiga kelele wa tandale.... Heshima ichukue nafasi yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna live performance moja ya Mbosso nilisikiliza alikuwa anaimba sjui tuzo gani zile aisee sjui alikuwa na stress but inshort hakuimba kitu.Wasanii wetu wawe wanafanya practise za kutosha kabla ya shoo zao Sio mtu hujiandai vizuri unategemea u perform live vizuri
Kwa kifupi hawawezi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ASAS ya Iringa au asas za kiserikali
wameinunua show nzima na watatugonga ticket upya au punguzo
niko Bara nawahi Mlimani asubuhi niwatafute Samaki samaki
msaada p/se
ASAS ya Iringa
 
Hata diamond angeweza kufanya hivyo na angepata watu ila mostly huconsider watz wa chini Diamond pia ni msanii wa kimataifa msimchukulie poa.
Aache kupiga show za bure. Anyways kama.ni rahisi afanye tuone
 
Kiingilio laki moja au milioni moja kwa meza moja yenye viti kumi na tiketi zote zimenunuliwa masaa 24 kabla ya show.


# Gracious Mopao.

# Muziki ya wakubwa.

# Somo kwa Diamond na wenzake: Acheni kupiga show za bure. Zile show Diamond unalipwa na kampuni Dola elfu arobaini upige show ya bure uwanjani kwa AJILI ya kupromote bidhaa au huduma za kampuni hiyo mwisho wa siku zitakuja kuua biashara ya show za muziki Tanzania.

Hiyo itawazoeza vibaya watanzania na mwisho wa siku ukipiga show ya kiingilio people won't show up.

# Kuuza album ilikufa.

# Show za mtu mmoja nazo zilikufa.

# Now mnataka kuua kabisa biashara ya show.

Jifunzeni kwa management ya Koffi. Asas wametoa kibunda cha kutosha kwa Koffi na show kiingilio laki na tiketi zote zimenunuliwa
Ila diamond amekunyoosha na anaendelea kukunyoosha..
 
Back
Top Bottom