Koffi Olomide: Special Thread

Ndionasemaga maisha Magumu!!
Hapana maisha sio Magumu Pesa ipo ila tufanye kazi Kwa bidii zote, tulio baki tuache uvivu
 
Acha uongo wewe unasemaje show ya bure wakati mtu analipwa? Kwani ulaya hakuna show za watu kuingia bure na wahusika wasanii wanalipwa?

Muziki utakufa vipi wakati msanii analipwa chake na mshabiki anapata burudani?
Sjaona kabisa hoja yako kabisa !
 
Kumbe hujaona hoja, basi ndio maana hujaelewa. Huwezi kuelewa kitu ambacho hujakiona
 
hv mshaisahau Zari all white part ilikuwaje tena diamond akiwa sio huyu wa sasa Na ndio show iliyoingiza pesa nyingi kuliko show yoyote iliyowahi fanyika hapa bongo mpaka sasa
je itakuwaje afanye sasa
 
hv mshaisahau Zari all white part ilikuwaje tena diamond akiwa sio huyu wa sasa Na ndio show iliyoingiza pesa nyingi kuliko show yoyote iliyowahi fanyika hapa bongo mpaka sasa
je itakuwaje afanye sasa
Sasa hivi wasanii wameua biashara ya show , shows zote wanafanya bure
 
Papa mobimba oohhh..papa mobimba...**2......halafu mtu anaraka kumfananisha na mchafu mmoja hivi...anayejua kucheza na vinena vya wanawake na kuwatekeleza...olomide the legend is here...
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ we ni shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…