Kiingilio laki moja au milioni moja kwa meza moja yenye viti kumi na tiketi zote zimenunuliwa masaa 24 kabla ya show.
# Gracious Mopao.
# Muziki ya wakubwa.
# Somo kwa Diamond na wenzake: Acheni kupiga show za bure. Zile show Diamond unalipwa na kampuni Dola elfu arobaini upige show ya bure uwanjani kwa AJILI ya kupromote bidhaa au huduma za kampuni hiyo mwisho wa siku zitakuja kuua biashara ya show za muziki Tanzania.
Hiyo itawazoeza vibaya watanzania na mwisho wa siku ukipiga show ya kiingilio people won't show up.
# Kuuza album ilikufa.
# Show za mtu mmoja nazo zilikufa.
# Now mnataka kuua kabisa biashara ya show.
Jifunzeni kwa management ya Koffi. Asas wametoa kibunda cha kutosha kwa Koffi na show kiingilio laki na tiketi zote zimenunuliwa