Koffi Olomide: Special Thread

Koffi Olomide: Special Thread

monde arabe

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2017
Posts
8,781
Reaction score
13,444
Habar za wakati huu ndugu wana-board. Tafadhali, husikeni na mada tajwa hapo juu.

Kwa wale wapenzi wa nyimbo za Koffi Olomide a.k.a Papa Fololo a.k.a Papa na Didi Stone a.k.a Nicholous Sykoz a.k.a Mopao Mokonzi a.k.a Charles Antoine Koffi Olomide naomba tukutane hapa kwenye uzi huu kwaajili ya ku-share habar kibao na nyimbo zake (ikiwa ni pamoja na nyimbo zake zote za audio,videos/eclipse/clips pamoja na live concerts/shows bila kusahau nyimbo mbalimbali alizoimba kama acapela au guitar version)

Naomba kutaja baadhi ya nyimbo zake ili wenye nazo waweze kuzi-appload humu kwenye uzi huu

1. Monde Arabe
2. Abracadabra
3. Jour de jeio
4. Changement de mentality
5. Selfie photo
6. Andrada
7. Respect
8. Riziki
9. Kisanola
10. Effrakata

Karibuni tu-enjoy music mzr kutoka kwa Mopao a.k.a Quadra Kora Man
 
Kiingilio laki moja au milioni moja kwa meza moja yenye viti kumi na tiketi zote zimenunuliwa masaa 24 kabla ya show.


# Gracious Mopao.

# Muziki ya wakubwa.

# Somo kwa Diamond na wenzake: Acheni kupiga show za bure. Zile show Diamond unalipwa na kampuni Dola elfu arobaini upige show ya bure uwanjani kwa AJILI ya kupromote bidhaa au huduma za kampuni hiyo mwisho wa siku zitakuja kuua biashara ya show za muziki Tanzania.

Hiyo itawazoeza vibaya watanzania na mwisho wa siku ukipiga show ya kiingilio people won't show up.

# Kuuza album ilikufa.

# Show za mtu mmoja nazo zilikufa.

# Now mnataka kuua kabisa biashara ya show.

Jifunzeni kwa management ya Koffi. Asas wametoa kibunda cha kutosha kwa Koffi na show kiingilio laki na tiketi zote zimenunuliwa
 
Back
Top Bottom