Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
arudi kwenye fashion za magome ya miti, naona hizo hajazipitia bado
Hivi huwa anavaa ilivapige picha au anaweza kushidia nazo hata masaa 3 hivi[emoji3][emoji3][emoji3]
Na utakuta hapo full si chini ya milion 8Hivi huwa anavaa ilivapige picha au anaweza kushidia nazo hata masaa 3 hivi[emoji3][emoji3][emoji3]
umenikumbusha ChimvunduAmenikatisha sana mayenu huyu enzi za Lui....!! Nilikuwa natoroshwa kwenda kulisskata rhumba lake......!
Acha azeeke na fashion sasa tupumzike....!😊
Milioni 8?? Huyu mzee havaagi nguo za hela ndogo hivyoNa utakuta hapo full si chini ya milion 8
Naona huko jela alizigeuza nguo za wafungwa kuwa za fasheni yake ya ajabu, wakaamua tu kumuacha huruHuyu jamaa si alihukumiwa kifungo france
ananunua au anashonesha?Milioni 8?? Huyu mzee havaagi nguo za hela ndogo hivyo
Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app