Koffi Olomide umenishinda tabia

Koffi Olomide umenishinda tabia

298830068_215535984230517_4366815143480960618_n.jpg
Hapo kavaa pazia bila shaka
 
Huyu jamaa si alihukumiwa kifungo france
Alihukumiwa kifungo, au kulipa faini. Na kwa bahati nzuri alikata pia rufaa, na kushinda! Hivyo Papaa Mopao ni mtu huru. Na anaruhusiwa kuingia Ufaransa muda wowote ule
 
Back
Top Bottom