Koffi Olumide inasemekana ameamua kuimba nyimbo za Injili

Koffi Olumide inasemekana ameamua kuimba nyimbo za Injili

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1656924195508.png


Baada ya kuupokea uwokovu wa Bwana moyoni mwake, nguli huyu inasemekana ameamua kuutumikia muda wake uliobaki duniani kuliimba jina la Bwana na kusifu utukufu wake.
 
Wasipokuja hapa wazee wa "shetani akizeeka hugeuka kuwa Malaika" basi leo hii Dar inapata tetemeko la ardhi.
 
mhhhh basi ni jambo jema.

halafu ni muda muafaka wa kurudi nyumbani kwao ufipani[emoji16][emoji16].
 
Kama amepokea wokovu ni heri kwake,isije ikawa kama yule muimba taarabu maarufu hapa kwetu 'aliyeokoka' baada ya kufulia akarudi tena ulingoni
Hata kwa Yesu atapiga pesa kwani anakubalika sana, kitendo cha kurudi kwa Mungu hii ni fursa kubwa
 
Kabla ya kufanya hayo maamuzi yake, alitakiwa kwanza kuomba ushauri kwa Mzee Yusuph
 
Hata mzee Yusuph alisema kaacha akaenda kuimba qaswida ila sasa hivi amerudi tena mjini baada ya kazi ya kufyatua MATOFALI kufeli.
 
Back
Top Bottom