Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Anakaribia kufa nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji137]Hata dhambi zenu ziwe nyekundu Kama damu,zutakua nyeupe kama theluji, alisamehewa Saul(Paulo) sembuse huyoUjana ale na shetani
Kila goti litapigwa,Kila ulimi utakiri Yesu ni BwanaView attachment 2280624
Baada ya kuupokea uwokovu wa Bwana moyoni mwake, nguli huyu inasemekana ameamua kuutumikia muda wake uliobaki duniani kuliimba jina la Bwana na kusifu utukufu wake.
Wapo yesu aliwasamehe dhambi zao lakini a kawaambia "enenda zako usitende dhambi tena" aliona hawana maana kwake, huyo koffi atubu aende zake[emoji137]Hata dhambi zenu ziwe nyekundu Kama damu,zutakua nyeupe kama theluji, alisamehewa Saul(Paulo) sembuse huyo