Koffi Olumide inasemekana ameamua kuimba nyimbo za Injili

Wasipokuja hapa wazee wa "shetani akizeeka hugeuka kuwa Malaika" basi leo hii Dar inapata tetemeko la ardhi.
 
mhhhh basi ni jambo jema.

halafu ni muda muafaka wa kurudi nyumbani kwao ufipani[emoji16][emoji16].
 
Kama amepokea wokovu ni heri kwake,isije ikawa kama yule muimba taarabu maarufu hapa kwetu 'aliyeokoka' baada ya kufulia akarudi tena ulingoni
Hata kwa Yesu atapiga pesa kwani anakubalika sana, kitendo cha kurudi kwa Mungu hii ni fursa kubwa
 
Kabla ya kufanya hayo maamuzi yake, alitakiwa kwanza kuomba ushauri kwa Mzee Yusuph
 
Hata mzee Yusuph alisema kaacha akaenda kuimba qaswida ila sasa hivi amerudi tena mjini baada ya kazi ya kufyatua MATOFALI kufeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…