Kunguru wa Manzese JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 12,729 Reaction score 18,119 Jul 7, 2022 #21 Anakaribia kufa nini
Katumbasongwe JF-Expert Member Joined Sep 12, 2018 Posts 1,017 Reaction score 1,138 Jul 11, 2022 #22 eddy said: Ujana ale na shetani Click to expand... [emoji137]Hata dhambi zenu ziwe nyekundu Kama damu,zutakua nyeupe kama theluji, alisamehewa Saul(Paulo) sembuse huyo
eddy said: Ujana ale na shetani Click to expand... [emoji137]Hata dhambi zenu ziwe nyekundu Kama damu,zutakua nyeupe kama theluji, alisamehewa Saul(Paulo) sembuse huyo
Tayana-wog JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 24,844 Reaction score 29,126 Jul 12, 2022 #23 Sky Eclat said: View attachment 2280624 Baada ya kuupokea uwokovu wa Bwana moyoni mwake, nguli huyu inasemekana ameamua kuutumikia muda wake uliobaki duniani kuliimba jina la Bwana na kusifu utukufu wake. Click to expand... Kila goti litapigwa,Kila ulimi utakiri Yesu ni Bwana
Sky Eclat said: View attachment 2280624 Baada ya kuupokea uwokovu wa Bwana moyoni mwake, nguli huyu inasemekana ameamua kuutumikia muda wake uliobaki duniani kuliimba jina la Bwana na kusifu utukufu wake. Click to expand... Kila goti litapigwa,Kila ulimi utakiri Yesu ni Bwana
E eddy JF-Expert Member Joined Dec 26, 2007 Posts 16,054 Reaction score 11,568 Jul 12, 2022 #24 Katumbasongwe said: [emoji137]Hata dhambi zenu ziwe nyekundu Kama damu,zutakua nyeupe kama theluji, alisamehewa Saul(Paulo) sembuse huyo Click to expand... Wapo yesu aliwasamehe dhambi zao lakini a kawaambia "enenda zako usitende dhambi tena" aliona hawana maana kwake, huyo koffi atubu aende zake
Katumbasongwe said: [emoji137]Hata dhambi zenu ziwe nyekundu Kama damu,zutakua nyeupe kama theluji, alisamehewa Saul(Paulo) sembuse huyo Click to expand... Wapo yesu aliwasamehe dhambi zao lakini a kawaambia "enenda zako usitende dhambi tena" aliona hawana maana kwake, huyo koffi atubu aende zake
TATACHACHA JF-Expert Member Joined Jun 16, 2022 Posts 793 Reaction score 1,671 Jul 13, 2022 #25 Kwa sasa hana cha kupoteza, ni muda sahihi sana kwake