Kofi kanyang'anywa mkanda kizembe sana

Koff hauwez mzk wa lesnar!!,
Wakal wa lesna wanajulkana mkuu, kina seth rollins, R.R na wako wachache sana..... Ulitegemea bwa mdgo koffi kufua dafu kwa the beast!?
Yaan the beast ushindi ulikuwa asubuhi tu
 
Wewe utakuwa
1. Beki tatu
2. Umri mdogo
3. Shule huna
4. Upo idle sana
5. Umetoka bush

Kwa mjanja ambaye si hayo hapo juu hawezi kuja kuzungumzia mieleka ambayo ni mchezo wa kuigiza. Sisi tuligundua hili toka miaka ya 90s tulipokuwa wadogo enzi za NWO n.k leo hii tumekuwa watu wazima hatuwezi angalia hizo perfomance na kuja kulia lia humu kama watoto.



Wakuu nimeumia saana yaani ajapambana hata dakika kumi mkanda Lesnar mshenzi sana
 
ahahahahahahahaha mkuu inawezekana kweli umri umenizidi ila inatakiwa kuniaminisha kuwa mieleka ni maigizo hivi hivi kwa maneno siwezi kukuelewa.
 
ahaaa we mkuu ndo uliandika uzi wa kipumbavu jukwaa la MMU nishakupata hata huo ushaidi usiulete wewe ni mpumbavu kama wapumbavu wengine.punk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…