The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
Yukoje mana sijamfatliaga kivileyah afu yule jamaa anacheza UCF
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yukoje mana sijamfatliaga kivileyah afu yule jamaa anacheza UCF
Niliona jamaaa lesnar aliwaza mara kibao kwenda wakat mech zingine akivamiwa tu lazima mvamiaji atafute pa kutokeahata mimi sijamfatilia mkuu ila jamaa ni mcheza ucf ndomana lesnar alivyo muona kamuogopa kinoma inaonekana jamaa ni hatari kwanza nimfwatilie
Ooohalijua kuwa kunakupigwa hapa..
Koff hauwez mzk wa lesnar!!,
Wakal wa lesna wanajulkana mkuu, kina seth rollins, R.R na wako wachache sana..... Ulitegemea bwa mdgo koffi kufua dafu kwa the beast!?
The beast ni jitu kubwa nguvu nyingi alafu ana hamu ya kupiganawatu kama lesnar ni kutumia akili saana
Seth ni mbishi sana anapambana hasaaHivi Brock alimkimbia Seth RAW?
Yaan the beast ushindi ulikuwa asubuhi tuKoff hauwez mzk wa lesnar!!,
Wakal wa lesna wanajulkana mkuu, kina seth rollins, R.R na wako wachache sana..... Ulitegemea bwa mdgo koffi kufua dafu kwa the beast!?
Wakuu nimeumia saana yaani ajapambana hata dakika kumi mkanda Lesnar mshenzi sana
ahahahahahahahaha mkuu inawezekana kweli umri umenizidi ila inatakiwa kuniaminisha kuwa mieleka ni maigizo hivi hivi kwa maneno siwezi kukuelewa.Wewe utakuwa
1. Beki tatu
2. Umri mdogo
3. Shule huna
4. Upo idle sana
5. Umetoka bush
Kwa mjanja ambaye si hayo hapo juu hawezi kuja kuzungumzia mieleka ambayo ni mchezo wa kuigiza. Sisi tuligundua hili toka miaka ya 90s tulipokuwa wadogo enzi za NWO n.k leo hii tumekuwa watu wazima hatuwezi angalia hizo perfomance na kuja kulia lia humu kama watoto.
ahaaa we mkuu ndo uliandika uzi wa kipumbavu jukwaa la MMU nishakupata hata huo ushaidi usiulete wewe ni mpumbavu kama wapumbavu wengine.punkWewe utakuwa
1. Beki tatu
2. Umri mdogo
3. Shule huna
4. Upo idle sana
5. Umetoka bush
Kwa mjanja ambaye si hayo hapo juu hawezi kuja kuzungumzia mieleka ambayo ni mchezo wa kuigiza. Sisi tuligundua hili toka miaka ya 90s tulipokuwa wadogo enzi za NWO n.k leo hii tumekuwa watu wazima hatuwezi angalia hizo perfomance na kuja kulia lia humu kama watoto.
Koffi Olomide imekuwaje tena?Wakuu nimeumia saana yaani ajapambana hata dakika kumi mkanda Lesnar mshenzi sana