Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Koffi Kingstone alichoka na aliamua Bora apumzike kidogo.
Ukiwa na mkanda kila wakati inakupasa kucheza pambano lisilo la mkanda na la kutetea mkanda kwani wapinzani wanakutaka sana kucheza na wewe.
Koffi aliamua kumuachia mkanda Lisner ili apumzike na kuvuta Pumzi ya mazoezi na kujipanga zaidi, hakutaka kumwachia mpinzani wake Rand Orton.
Kofi atarudi kwa Kasi Sana na kuchukua tena mkanda wake.
Ana stamina nzuri kwenye Mieleka
Wale wanaosema Mieleka ni Scripted hawaujui huo mchezo. Wanafananisha Mieleka na ule mchezo wa UFC wa akina Khabib na Fulgason.
Michezo yote Ni lazima iwe Scripted, hata mbio zina sheria zake.
Lazima wachezaji waelezwe jinsi ya kukimbia na nidhamu zake la sivyo una disco.
Mieleka Ina sheria nyingi Sana la sivyo kila siku wangevunjana Shingo.
Labda nieleze Mieleka sio mchezo wa Sanaa Za Maonesho.
Sana za Maonesho zote maana yake ni MAIGIZO
Inabidi niwape darasa kidogo.
Michezo yote ya Sanaa za Maonesho yaani Maigizo inasimamiwa na idara za Sanaa na Usani.
Hapa nchini kwetu Lipo Baraza linaitwa
Baraza La Sanaa Tanzania.
BASATA. kazi zote za Sanaa na Maigizo hupelekwa huko kuendeshwa.
Mieleka ni mchezo halisi na inasimamiwa na Baraza La Michezo Tanzania, BMT.
Leo Kama unatakiwa kuanzisha mchezo wa Mieleka unaenda kuomba kibali BMT na sio BASATA Kwakuwa Mieleka sio mchezo wa Kuigiza.
Mimi hapa sio mtazamaji Ni Mdau wa Mchezo wa Mieleka naujua inside out.
Pambano la mieleka linapofikia katika kuwania mkanda au Money in the Bank. Ni pambano halisi la watu kuupigania mkanda ili walipwe Kama wanavyo lipwa Mabondia wakishinda pambano.
Ndio maana Kuna wakati Kama Kuna hisia ya pambano kutibuliwa au kuiingiliwa basi mchezaji anaomba kucheza ndani ya Cell. Ule uzio wa waya. Hell in The Cell.
Ila Yale mapambano yasiyo kuwa ya ubingwa Ni ya kufuzu ili ufikie kuwania mkanda yanaweza kuiingiliwa au kutibuliwa au KUPANGWA na WAPINZANI wa mchezaji. lakini kwa utaratibu maalum na ukikosewa Polisi wanakuja kukukamata na kukutia Pingu hapohapo ulingoni na unalazwa Lupango Kama kawaida na kushtakiwa na kulipa faini.
Mtu asioujua mchezo wa Mieleka ni Bora aulize kuliko kujifanya mjuaji.
Kama Mieleka ni Sana basi Leo yoyote atoke nyumbani aende BASATA akaseme anataka kibali cha kuchezeshwa mieleka halafu atuletee humu majibu atakayo pewa huko.
Kuuliza Sio Ujinga jamani Mieleka ina wadau wake wanaoijua.