Kofi kanyang'anywa mkanda kizembe sana

Kofi kanyang'anywa mkanda kizembe sana

Koffi Kingstone alichoka na aliamua Bora apumzike kidogo.
Ukiwa na mkanda kila wakati inakupasa kucheza pambano lisilo la mkanda na la kutetea mkanda kwani wapinzani wanakutaka sana kucheza na wewe.
Koffi aliamua kumuachia mkanda Lisner ili apumzike na kuvuta Pumzi ya mazoezi na kujipanga zaidi, hakutaka kumwachia mpinzani wake Rand Orton.
Kofi atarudi kwa Kasi Sana na kuchukua tena mkanda wake.
Ana stamina nzuri kwenye Mieleka
Wale wanaosema Mieleka ni Scripted hawaujui huo mchezo. Wanafananisha Mieleka na ule mchezo wa UFC wa akina Khabib na Fulgason.
Michezo yote Ni lazima iwe Scripted, hata mbio zina sheria zake.
Lazima wachezaji waelezwe jinsi ya kukimbia na nidhamu zake la sivyo una disco.
Mieleka Ina sheria nyingi Sana la sivyo kila siku wangevunjana Shingo.
Labda nieleze Mieleka sio mchezo wa Sanaa Za Maonesho.
Sana za Maonesho zote maana yake ni MAIGIZO
Inabidi niwape darasa kidogo.
Michezo yote ya Sanaa za Maonesho yaani Maigizo inasimamiwa na idara za Sanaa na Usani.
Hapa nchini kwetu Lipo Baraza linaitwa
Baraza La Sanaa Tanzania.
BASATA. kazi zote za Sanaa na Maigizo hupelekwa huko kuendeshwa.
Mieleka ni mchezo halisi na inasimamiwa na Baraza La Michezo Tanzania, BMT.
Leo Kama unatakiwa kuanzisha mchezo wa Mieleka unaenda kuomba kibali BMT na sio BASATA Kwakuwa Mieleka sio mchezo wa Kuigiza.
Mimi hapa sio mtazamaji Ni Mdau wa Mchezo wa Mieleka naujua inside out.
Pambano la mieleka linapofikia katika kuwania mkanda au Money in the Bank. Ni pambano halisi la watu kuupigania mkanda ili walipwe Kama wanavyo lipwa Mabondia wakishinda pambano.
Ndio maana Kuna wakati Kama Kuna hisia ya pambano kutibuliwa au kuiingiliwa basi mchezaji anaomba kucheza ndani ya Cell. Ule uzio wa waya. Hell in The Cell.
Ila Yale mapambano yasiyo kuwa ya ubingwa Ni ya kufuzu ili ufikie kuwania mkanda yanaweza kuiingiliwa au kutibuliwa au KUPANGWA na WAPINZANI wa mchezaji. lakini kwa utaratibu maalum na ukikosewa Polisi wanakuja kukukamata na kukutia Pingu hapohapo ulingoni na unalazwa Lupango Kama kawaida na kushtakiwa na kulipa faini.
Mtu asioujua mchezo wa Mieleka ni Bora aulize kuliko kujifanya mjuaji.
Kama Mieleka ni Sana basi Leo yoyote atoke nyumbani aende BASATA akaseme anataka kibali cha kuchezeshwa mieleka halafu atuletee humu majibu atakayo pewa huko.
Kuuliza Sio Ujinga jamani Mieleka ina wadau wake wanaoijua.
 
Nilishaachaga kuangalia haya maigizo. Yaani umati woooote ule wa watazamaji ukumbini wanashindwa kutambua kuwa hawa jamaa ni wasanii na kila kitu kinakuwa kimepangwa.

Kingston kama kapigwa ndio walikuwa wamepanga iwe hivyo wewe unaona kama kapigwa kiuepesi.
 
soma juu hapo utaelewa.
 
Mieleka kitambo toka WCW enzi za kina Sting na the Rock 🤣🤣🤣 tukahamia WWF kwa akina Stone Cold Steve Austin na mastaa wengine kina The BiG Show, Undertaker, Kane mzee McMane na mwanae Shane McMane, kisha WWE kwa akina Umaga, Rey Mysterio,Triple H, Sean Michaels, Randy Orton, John Cena kitambo sana kuangalia mieleka ila nachoweza kukiri childhood was fun.

Japo nilikuja kugundua kuwa zile stunts zote ni maigizo.
 
Koffi Kingstone alichoka na aliamua Bora apumzike kidogo.
Ukiwa na mkanda kila wakati inakupasa kucheza pambano lisilo la mkanda na la kutetea mkanda kwani wapinzani wanakutaka sana kucheza na wewe.
Koffi aliamua kumuachia mkanda Lisner ili apumzike na kuvuta Pumzi ya mazoezi na kujipanga zaidi, hakutaka kumwachia mpinzani wake Rand Orton.
Kofi atarudi kwa Kasi Sana na kuchukua tena mkanda wake.
Ana stamina nzuri kwenye Mieleka
Wale wanaosema Mieleka ni Scripted hawaujui huo mchezo. Wanafananisha Mieleka na ule mchezo wa UFC wa akina Khabib na Fulgason.
Michezo yote Ni lazima iwe Scripted, hata mbio zina sheria zake.
Lazima wachezaji waelezwe jinsi ya kukimbia na nidhamu zake la sivyo una disco.
Mieleka Ina sheria nyingi Sana la sivyo kila siku wangevunjana Shingo.
Labda nieleze Mieleka sio mchezo wa Sanaa Za Maonesho.
Sana za Maonesho zote maana yake ni MAIGIZO
Inabidi niwape darasa kidogo.
Michezo yote ya Sanaa za Maonesho yaani Maigizo inasimamiwa na idara za Sanaa na Usani.
Hapa nchini kwetu Lipo Baraza linaitwa
Baraza La Sanaa Tanzania.
BASATA. kazi zote za Sanaa na Maigizo hupelekwa huko kuendeshwa.
Mieleka ni mchezo halisi na inasimamiwa na Baraza La Michezo Tanzania, BMT.
Leo Kama unatakiwa kuanzisha mchezo wa Mieleka unaenda kuomba kibali BMT na sio BASATA Kwakuwa Mieleka sio mchezo wa Kuigiza.
Mimi hapa sio mtazamaji Ni Mdau wa Mchezo wa Mieleka naujua inside out.
Pambano la mieleka linapofikia katika kuwania mkanda au Money in the Bank. Ni pambano halisi la watu kuupigania mkanda ili walipwe Kama wanavyo lipwa Mabondia wakishinda pambano.
Ndio maana Kuna wakati Kama Kuna hisia ya pambano kutibuliwa au kuiingiliwa basi mchezaji anaomba kucheza ndani ya Cell. Ule uzio wa waya. Hell in The Cell.
Ila Yale mapambano yasiyo kuwa ya ubingwa Ni ya kufuzu ili ufikie kuwania mkanda yanaweza kuiingiliwa au kutibuliwa au KUPANGWA na WAPINZANI wa mchezaji. lakini kwa utaratibu maalum na ukikosewa Polisi wanakuja kukukamata na kukutia Pingu hapohapo ulingoni na unalazwa Lupango Kama kawaida na kushtakiwa na kulipa faini.
Mtu asioujua mchezo wa Mieleka ni Bora aulize kuliko kujifanya mjuaji.
Kama Mieleka ni Sana basi Leo yoyote atoke nyumbani aende BASATA akaseme anataka kibali cha kuchezeshwa mieleka halafu atuletee humu majibu atakayo pewa huko.
Kuuliza Sio Ujinga jamani Mieleka ina wadau wake wanaoijua.
Mkuu mieleka inayosimamiwa na BMT sio ile ya WWE. Unajua miekeka wanaenda mpaka olimpiki. Ushawahi kywaona wale waburudishaji wa WWE wakuwa olimpiki?
 
Umewahi kuona mieleka ya kiNigeria? Nimeshindwa kuattach hapa tu. Tatizo lenu mnashindwa kutofautisha usanii na uhalisia.

Ule ni usanii wa wazi kabisa, uhitadi kuwa na PhD kutambua hilo.
 
Che mittoga mkuu kama kunamtu ajakuelewa atakuwa ni mchawi na hii ilitakiwa uipost kabisa ili wajuaji watambue..
Asante
Mara zote Wanamieleka wanaamua kuweka kipindi maalum cha mapumziko, ili Kujijenga upya kiafya baada ya kupambana kwa muda fulani.
Mmeweza kuwaona wachezaji Kama John Cena, Edge, Tripo H, Undertaker, Cane, Rand Orton, Jeff Hard na wengineo wakipotea kipindi fulani, halafu wanarudi tena Ulingoni kucheza.
Wanaenda mapumziko na Kujijenga upya, kiafya kwa Mazoezi Matibabu Ushauri na Chakula.
Ndivyo nadhani anachotaka kufanya Koffi Kingston. Kumbukeni Koffi ametoka kutembelea kwao Ghana mwaka huu 2019.
UpNadhani anampango wa kwenda kufanya kitu fulani huko kwao wakati wa mapumziko yake, ndio maana kaachia ubingwa kirahisi vile.
Lisner Hana ubavu wa kumpiga Koffi kirahisi namna ile, Koffi ni namba ngumu sana kwa taarifa
ya umma.
Mieleka ni mchezo mgumu Sana na unatumia nguvu nyingi hivyo basi Kitaalamu wanashauriwa kuweka kipindi cha kucheza na kupumzika, ili Kujijenga upya.
Tofauti na Mabondia wa Uzito wa Juu wao wanacheza Mara moja kila baada ya kipindi kisicho pungua miezi Sita.
Hiyo miezi Sita ndio kipindi cha wao Kujijenga upya kwa mazoezi, afya, ushauri, matibabu na Chakula.

N.B.
Nimeona Bondia Tyson Furry naye anaonesha nia ya kutaka kucheza Mieleka.
Anakaribishwa Ila ajipange Sana.
 
Umewahi kuona mieleka ya kiNigeria? Nimeshindwa kuattach hapa tu. Tatizo lenu mnashindwa kutofautisha usanii na uhalisia.

Ule ni usanii wa wazi kabisa, uhitadi kuwa na PhD kutambua hilo.
Wale vijana wa Kinaijeria wale wanawaigiza wachezaji wa WWE na hawachezi Mieleka halisi.
We husikii Mtangazaji anataja Majina ya Wanamieleka halisi ?
akina Masterio na
wengineo..!
Yaani wewe unachekesha kweli, ni Mieleka gani inachezwa kwenye bwawa la kuogelea ?
Kwa taarifa yako hakuna nchi ya Kiafrika yenye kibali cha kuchezeshwa Mieleka kwa sababu ya kukosa vigezo vya kitaalamu vya kimataifa.
Hata hapa Tanzania waliifungia kwa kigezo hichohicho.
Ni vizuri umeuliza
 
Nchi ya Mexico imeruhusiwa hivi karibuni kuchezesha Mieleka baada ya kufuzu vigezo vya kimataifa.
Channel za Azam tv zinaionesha kila Alhamisi saa moja Jioni.
 
watu wanataka entertainment ndo mana WWE Ni most subscribed sports entertainment.....kama vp nenda UFC
 
Ndio.
Hii Ni topic inayojitegemea katika mieleka.
Waanzilishi wa Mieleka walitaka Mieleka isichezwe kwa hasira na jazba Kama za UFC,
Ukiangalia kwa makini hata Mabondia Kama Muhammed Ally. Linox Lewis, walicheza Box kwa mtindo wa Kufurahisha Jukwaa.
Yaani Wana dance na kupiga jab murua kabisa hadi watazamaji wanafurahi na hawamalizi gemu haraka wanaburudisha wapenzi wao kwanza.
Ila Bondia Mike Tyson yeye hakuwahi kucheza kwa Kufurahisha mashabiki. Yeye sekunde ya kwanza akakukata ngumi nzito na mchezo unaisha.
Katika Mieleka mchezo wenyewe hauruhusu kuumaliza kwa haraka kwani inabidi kwanza umchoshe mpinzani wako na sio umpige hadi ashindwe kuendelea kucheza.
Zile vurugu zote za kwenye mieleka nia yake ni kumchosha mpinzani.
Maana pointi unapatikana pale unapomlaza mpinzani wako chini akilalia mgongo wake na sio tumbo, na anahesabiwa moja Hadi tatu, bila kufurukuta au kugusa kamba ya ya kwenye ulingo na kiungo chochote cha Mwili wake.
Ngumi Kama za Boxing haziruhusiwi kwenye mieleka wala teke la kisigino cha mguu, wala ukiruka toka juu huruhusiwi kumfikia mpinzani kwa magoti au visigino au ngumi kavu, kuna sheria nyingi sana za kucheza huu mchezo ili kuepusha kujeruhi, bali kumchosha tu mpinzani na Kufurahisha Jukwaa.
 
hiyo mieleka ya WWE ni mchezo wa maigizo tu, ni feki ni kama movies za kuigiza, hauna uhalisia wowote, wanaoamini ni mchezo wa kweli wanashangaza sana, na asilimia kubwa wa mashabiki wake huko Ulaya ni watoto wadogo, ni mchezo wa kuchekesha kawa movies za katuni za akina tom and jerry.
 
mkuu umefwatilia mieleka au unaskiaga tu
 
hiyo mieleka ya WWE ni mchezo wa maigizo tu, ni feki ni kama movies za kuigiza, hauna uhalisia wowote, wanaoamini ni mchezo wa kweli wanashangaza sana, na asilimia kubwa wa mashabiki wake huko Ulaya ni watoto wadogo, ni mchezo wa kuchekesha kawa movies za katuni za akina tom and jerry.
[/QUOTE
😂😂😂 Kwamba watoto.... Donald Trump,Tyson,maymoneyweather,furytyson wote hawa Ni washabik wazur tu WWE
 
Ndivyo scrip ilivyosema sasa atafanyaje?[emoji3]
 
Back
Top Bottom