Kofi kanyang'anywa mkanda kizembe sana

Kofi kanyang'anywa mkanda kizembe sana

ulijuaje mkuu namimi nifahamu au nawewe unaskia stori za vijiweni tu
Ni kweli kabisa mkuu. Mimi nilikuwa naupenda huo mchezo mpaka nilikuwa nawakera hapa nyumbani kwenye tv ya familia. Lakini nilipokuja kufuatialia kumbe Kila kinachofanyika Ni scripted. Na kabla ya pambano inafinyika rehearsal Basi mkuu mpaka wa leo Sina hamu
 
bado sijakuelewa eleza ulijuaje kama wanagiza tu na kupangwa na mzungu so mpumbavu awezi lipia pesa hivi hivi
 
Mwandishi picha za wahusika amna au... ili wengine tuelewe ata kwa picha
 
Ni kweli kabisa mkuu. Mimi nilikuwa naupenda huo mchezo mpaka nilikuwa nawakera hapa nyumbani kwenye tv ya familia. Lakini nilipokuja kufuatialia kumbe Kila kinachofanyika Ni scripted. Na kabla ya pambano inafinyika rehearsal Basi mkuu mpaka wa leo Sina hamu
na hell in cell au money in the b ni maigizo tu kwamba anapangwa mtu wakuchukua zile pesa kirahisi tu.
 
Hiv kweli ile mech kabla ya kofii ya money in th b ilipangwa kweli mana walitifuana haswa!
haelewi huyo na ajafwatilia mieleka kuna mkanda ule wa 24 ambao ni wajokes watu wafurai tu na saizi kachukua dj marshmello angenambia huo kidgo ningemuelewa.
 
Koff hauwez mzk wa lesnar!!,
Wakal wa lesna wanajulkana mkuu, kina seth rollins, R.R na wako wachache sana..... Ulitegemea bwa mdgo koffi kufua dafu kwa the beast!?
koffi ni mbishi saana ila game kapoteza kizembe saana labda wakikutana tena ndo ataonesha umwamba.
 
R.R mbishi yule..hadi ushinde umefanya kazi haswa! Anamsumbua sana B.L
 
Tangu nijue kuwa Kila kinachofanyika hiyo wwe Ni scripted, sitaki hata kuisikia...
Mkubwa hata Moira ni scripted lakini wachezaji huumia, hufa na kuburudisha pia. Vivyo hivyo Kwa mieleka. Ule mchezo usingekuwa na script na guidance kubwa wachezaji wangekuwa wanakufa sana. Anyway, hata mi nilivunjika moyo kujua kumbe ni maigizo na kibaya Menejiment wanapanga Matokeo kabisa wakati mwingine. Na Ukiwa mbishi they kick you out of WWE, so sad [emoji17]
 
Koffi Olomide au mwingine siwaelewi mjue..
 
koffi ni mbishi saana ila game kapoteza kizembe saana labda wakikutana tena ndo ataonesha umwamba.
Siyo karibuni..maana tangazo la Wwe la juzi lilisema atapigana na jamaa mmoja hiv kule Saud Atabia! Yule jamaa alieingilia ile mech baada ya Lesnar kushinda
 
Mkubwa hata Moira ni scripted lakini wachezaji huumia, hufa na kuburudisha pia. Vivyo hivyo Kwa mieleka. Ule mchezo usingekuwa na script na guidance kubwa wachezaji wangekuwa wanakufa sana. Anyway, hata mi nilivunjika moyo kujua kumbe ni maigizo na kibaya Menejiment wanapanga Matokeo kabisa wakati mwingine. Na Ukiwa mbishi they kick you out of WWE, so sad [emoji17]
tutaaminije kama inapangwa tufunulie na ushaidi kabisa ili tukuelewe so unasoma tu afu unaamini kirahisi tu
 
Wakuu nimeumia saana yaani ajapambana hata dakika kumi mkanda Lesnar mshenzi sana
Ebu naomba ratiba ya hii kitu isiwe inanipita.. Maana kila siku nikiibahatisha bas hua ndo inaishia
 
Back
Top Bottom