Kofi kanyang'anywa mkanda kizembe sana

Kofi kanyang'anywa mkanda kizembe sana

Mkubwa hata Moira ni scripted lakini wachezaji huumia, hufa na kuburudisha pia. Vivyo hivyo Kwa mieleka. Ule mchezo usingekuwa na script na guidance kubwa wachezaji wangekuwa wanakufa sana. Anyway, hata mi nilivunjika moyo kujua kumbe ni maigizo na kibaya Menejiment wanapanga Matokeo kabisa wakati mwingine. Na Ukiwa mbishi they kick you out of WWE, so sad [emoji17]
Swala sio kuburudisha.. ninachota kusema Ni kwamba walio wengi wanajua kwamba wwe ukweli hata mleta uzi nafikiri anafahamu hivyo. Ila kwakuwa ww umetambua kuwa Ni uongo na Mara nyingine mpaka matokeo hupangwa wenzio hamu wanapinga.
 
maana walau music tunasikia kuna koffi olomide mwingine alikwa koffi annaan alishakufa sasa kuibuka na jina kofi sikuelewa wengine wahenga jamani! ila tukio mchanganyiko ni vema mtu akianzisha thread basi aidadavue wengi wajue vinginevyom anakuwa ananena kwa lugha
Ananena kwa lugha? 😅😅😅
 
Ukiangalia show utadhani highlights kumbe ndo mechi halisi
 
WWE ushetani ni mwingi sana! Nimejuaje? Sijui ila ushetani ni mwingi!
Kwani unadhani wanamieleka ni watumishi wa Mungu...?
Pale watu wanatafuta pesa na umaarufu.
Hivyo basi wachezaji hutumia mbinu zozote zile zikiwemo kula madawa ya kuongeza nguvu, ushirikina na mengineyo ili kupata mafanikio.
Ile ni kazi kama kazi nyingine na penye riziki hapakosi fiziki.
 
wakati pambano la mieleka linaendelea anatokea mshabiki jukwaani anapanda ulingoni anamdunda refa mpaka refa anazimia, anawageukia wanamieleka anamdunda mmoja wapo mpaka anakimbia, anamtangaza mshindi yule aliemsaidia, wanabeba mataji yao ya ubingwa wanaondoka huku washahbiki wanashangilia, halafu kuna watu wanasema huu mchezo ni wakwel
 
hata mimi sijamfatilia mkuu ila jamaa ni mcheza ucf ndomana lesnar alivyo muona kamuogopa kinoma inaonekana jamaa ni hatari kwanza nimfwatilie

Alishamchapa Lesnar kule UFC
 
Yeah, nilikosea kidogo. Asante mkuu
Ok. Hawa jamaa wa WWE naona wameamua kutengeneza story ya Brock vs Cain, kwavile walishapigana kule UFC na Brock Lesnar kubondwa vibaya, sasa naona wamemleta huku ili wapigane tena na ionekane Brock kashinda[emoji3][emoji3], sema itakuwa wamemlipa Cain mkwanja mzuri. Halafu Cain kwa sasa sio bingwa kule UFC amechakazwa vibaya miezi kadhaa iliyopita na Francis Ngannou so hana cha kupoteza, kaja huku kupiga mpunga wa bure
 
Akikujibu nipo tag maana Mzungu hawezi kulipia kiingilio scripted kiasi hicho
Kwani movie mnazoingia ukkumbini kuangalia kuna ukweli pale?? Pale wanaruka kweli lakini matokeo yalishapangwa nani ashinde
 
tutaaminije kama inapangwa tufunulie na ushaidi kabisa ili tukuelewe so unasoma tu afu unaamini kirahisi tu
Nenda you tube huko hata lesnar yupo huko anakiri ni FAKE ukitaka mapambano ya kweli nenda MMA
 
Back
Top Bottom