Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji38] dah! Ile kofia kibandiko !Nadhani Itakuwa kusitiri utosi usipigwe na jua,upepo au baridi kali.[emoji848]
Bado naendelea kuwaza.Katika dini ya Uyahudi nadhani ilikuwa ni desturi mtu anayetaka kufanya ibada kujisitiri kwa kujifunika mavazi ya heshima mwilini.Bila kusahau kichwa kwa kofia maalumu au vilemba maalum na kuvua viatu.Ni kujinyenyekeza,kujisitiri na kujitoa ili kufanya ibada kwa Mungu waliyemuamini.Na hivyo,ikawa ni desturi yao kuvaa hivyo.[emoji23][emoji38] dah! Ile kofia kibandiko !
Ndiyo mulemule tu.Maaskofu wa Katoliki nao huanza na hizo kofia ndogo kabla ya kuvaa zile kubwa zaidi kwa juu yake.
vinaitwaya yamaka kwao vinamaana kumuheshimu Mungu pia wengine wanaamini wakivaa Mungu yuko juu yao kwa maana anawasaidia muda woteNawaona sana wanavaa hao jamaa; watu wa kawaida hadi viongozi.
Ina maana gani kuwa vidogo vile?!!!!
"Ataivaa ile kanzu takatifu ya kitani, atakuwa na zile suruali za kitani mwilini mwake, atafungwa ule mshipi wa kitani, naye atavaa ile kofia ya kitani; hayo ndiyo mavazi matakatifu, naye ataoga mwili wake majini, na kuyavaa"; Law 16:4Nawaona sana wanavaa hao jamaa; watu wa kawaida hadi viongozi.
Ina maana gani kuwa vidogo vile?!!!!
Vazi la heshima lile.Unaweza kutuambia ukivaa viatu ni mbwembwe?Au kuvaa "chemise" ni mbwembwe?🤔Mbwembwe tu
Unasemea vile kama kisosi?Nawaona sana wanavaa hao jamaa; watu wa kawaida hadi viongozi.
Ina maana gani kuwa vidogo vile?!!!!
Jinsi mnavyo waabudu hao wayahudi licha ya kuwa Wana tamaduni sawa kabisa na waarabu...na jinsi mnavyo watukana waarabu inashangaza SanaNadhani Itakuwa kusitiri utosi usipigwe na jua,upepo au baridi kali.Watu mnawaza kwa umbali sana hadi kesho.🤔
.Ndiyo mulemule tu.Maaskofu wa Katoliki nao huanza na hizo kofia ndogo kabla ya kuvaa zile kubwa zaidi kwa juu yake.
Sidhani kama ulichokiandika ndicho mimi hutekeleza.Jinsi mnavyo waabudu hao wayahudi licha ya kuwa Wana tamaduni sawa kabisa na waarabu...na jinsi mnavyo watukana waarabu inashangaza Sana
Mwanangu wewe ni dini gani ?Kuna Vitu vimeanzisha na KANISA la Rumi ya KIPAGANI vinafanana na Ile DINI walioianzisha.
1. Rozali vs Tasbihi.
2. Yamaka vs Balakashia.
3. Kanzu vs Majoho.
4. Ubani vs Ubani.
5. Hijab vs Hijab za masister.
Islamic na Roman ni kitu kimoja
Mimi sijasema kama anafananafanana na SDA! Sijasema wala kuandika.🤔Mwanangu wewe ni dini gani ?