Kofia ndogo wanazovaa Wayahudi huwa zina maana gani?

Kofia ndogo wanazovaa Wayahudi huwa zina maana gani?

Katika kiswahili hakuna wingi Christianity, Islam au Judaism. Hakuna Makristo, Maislamu na hivyo hakuwezi kuwa na Mayahudi.

Christians ni Wa-kristo
Muslims ni Wa-islamu
Jews in Wa-yahudi
Nenda google kisha andika Mayahudi na manaswara.

Sina time ya kupigizana kelele na muabudu waisrael.
 
"Ataivaa ile kanzu takatifu ya kitani, atakuwa na zile suruali za kitani mwilini mwake, atafungwa ule mshipi wa kitani, naye atavaa ile kofia ya kitani; hayo ndiyo mavazi matakatifu, naye ataoga mwili wake majini, na kuyavaa"; Law 16:4
Kitani ni nini mkuu?
 
Wanavaa kwa madaraja na sio kweli kwamba kila mtu anaweza kuvaa kibaraghashia kwa kujiamulia.
Unavaa kile cha daraja lako!
 
Back
Top Bottom