Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Au Maarabu ya Buguruni kwa MnyamaniWatakuja kukujibu wale Mayahudi wa Nzega,wasubiri hapo hapo wanakuja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au Maarabu ya Buguruni kwa MnyamaniWatakuja kukujibu wale Mayahudi wa Nzega,wasubiri hapo hapo wanakuja.
Hivi,na mimi naweza kuanza kuandika na kuita:-Au Maarabu ya Buguruni kwa Mnyamani
Yeeah... Ni kuonesha wingi.Hivi,na mimi naweza kuanza kuandika na kuita:-
1-Matanzania ya kusaini mkataba wa DP World?
2-Machina ya fake goods and services?
3-Mahindi ya kula pilipili domoni mpaka washa "kwapani" yake?
4-Majeremani ya kufuga mustachi kama fagio la chelewa?
Na orodha iendeleee...
Sidhani.Huwa kuna kiashiria cha ubaguzi na chuki kwa watu wa race fulani.Yeeah... Ni kuonesha wingi.
Zipo dini zinazobagua wengine zenye chuki na uhasama.Sidhani.Huwa kuna kiashiria cha ubaguzi na chuki kwa watu wa race fulani.
Na hurithishana tabia hizo za chuki,uhasama,chokochoko na ubaguzi.Zipo dini zinazobagua wengine zenye chuki na uhasama.
Ni msingi wa imani. Yaani kitu kipo hivyo toka mwanzo. Kama wanaambia ndugu zao ni majini. So binadamu si ndugu zaoNa hurithishana tabia hizo za chuki,uhasama,chokochoko na ubaguzi.
Kanzu vs majoho?Kuna Vitu vimeanzisha na KANISA la Rumi ya KIPAGANI vinafanana na Ile DINI walioianzisha.
1. Rozali vs Tasbihi.
2. Yamaka vs Balakashia.
3. Kanzu vs Majoho.
4. Ubani vs Ubani.
5. Hijab vs Hijab za masister.
Islamic na Roman ni kitu kimoja
Sahihi tena seems alikuwa Rc akahamaMimi sijasema kama anafananafanana na SDA! Sijasema wala kuandika.[emoji848]
Achilia Uislam ni tawi la ukatoliki kwa waarabu Wakatoliki ndio waliouanzisha uislam.Kuna Vitu vimeanzisha na KANISA la Rumi ya KIPAGANI vinafanana na Ile DINI walioianzisha.
1. Rozali vs Tasbihi.
2. Yamaka vs Balakashia.
3. Kanzu vs Majoho.
4. Ubani vs Ubani.
5. Hijab vs Hijab za masister.
Islamic na Roman ni kitu kimoja
Kwa nini huwa mnawaita Mayahudi badala ya Wayahudi?Watakuja kukujibu wale Mayahudi wa Nzega,wasubiri hapo hapo wanakuja.
Judaism ni ile hali ya uyahudi,so uwingi unatumia mayahudi wala haina shida,sema mtu mjinga/asiyejua au mwenye fikra za kibaguzi akili yake humtuma kua kwa kuita Mayahudi ni racist.Kwa nini huwa mnawaita Mayahudi badala ya Wayahudi?
Hujui tofauti ya Judaism na Jews?!Judaism ni ile hali ya uyahudi,so uwingi unatumia mayahudi wala haina shida,sema mtu mjinga/asiyejua au mwenye fikra za kibaguzi akili yake humtuma kua kwa kuita Mayahudi ni racist.
Hujui hata umeandika nini,naona tu umeamua kukaza fuvu,au wewe ndio katika wale wanaowasujudia Waisrael?Hujui tofauti ya Judaism na Jews?!
Myahudi ni Jew, Wayahudi ni Jews. Mayahudi ni lugha ya hovyo.
Katika kiswahili hakuna wingi Christianity, Islam au Judaism. Hakuna Makristo, Maislamu na hivyo hakuwezi kuwa na Mayahudi.Judaism ni ile hali ya uyahudi,so uwingi unatumia mayahudi wala haina shida,sema mtu mjinga/asiyejua au mwenye fikra za kibaguzi akili yake humtuma kua kwa kuita Mayahudi ni racist.