Kofia ndogo wanazovaa Wayahudi huwa zina maana gani?

[emoji23][emoji38] dah! Ile kofia kibandiko !
Bado naendelea kuwaza.Katika dini ya Uyahudi nadhani ilikuwa ni desturi mtu anayetaka kufanya ibada kujisitiri kwa kujifunika mavazi ya heshima mwilini.Bila kusahau kichwa kwa kofia maalumu au vilemba maalum na kuvua viatu.Ni kujinyenyekeza,kujisitiri na kujitoa ili kufanya ibada kwa Mungu waliyemuamini.Na hivyo,ikawa ni desturi yao kuvaa hivyo.
 
Ni utamaduni kama ilivyo vibarakashia kwa Islam.
 
Nawaona sana wanavaa hao jamaa; watu wa kawaida hadi viongozi.

Ina maana gani kuwa vidogo vile?!!!!
"Ataivaa ile kanzu takatifu ya kitani, atakuwa na zile suruali za kitani mwilini mwake, atafungwa ule mshipi wa kitani, naye atavaa ile kofia ya kitani; hayo ndiyo mavazi matakatifu, naye ataoga mwili wake majini, na kuyavaa"; Law 16:4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…