The Icebreaker JF-Expert Member Joined Feb 11, 2018 Posts 22,278 Reaction score 65,817 Jul 26, 2023 #41 Yoda said: Katika kiswahili hakuna wingi Christianity, Islam au Judaism. Hakuna Makristo, Maislamu na hivyo hakuwezi kuwa na Mayahudi. Christians ni Wa-kristo Muslims ni Wa-islamu Jews in Wa-yahudi Click to expand... Nenda google kisha andika Mayahudi na manaswara. Sina time ya kupigizana kelele na muabudu waisrael.
Yoda said: Katika kiswahili hakuna wingi Christianity, Islam au Judaism. Hakuna Makristo, Maislamu na hivyo hakuwezi kuwa na Mayahudi. Christians ni Wa-kristo Muslims ni Wa-islamu Jews in Wa-yahudi Click to expand... Nenda google kisha andika Mayahudi na manaswara. Sina time ya kupigizana kelele na muabudu waisrael.
M Mnafiki Wa Kujitegemea JF-Expert Member Joined Dec 30, 2022 Posts 3,751 Reaction score 6,337 Jul 26, 2023 #42 dudus said: "Ataivaa ile kanzu takatifu ya kitani, atakuwa na zile suruali za kitani mwilini mwake, atafungwa ule mshipi wa kitani, naye atavaa ile kofia ya kitani; hayo ndiyo mavazi matakatifu, naye ataoga mwili wake majini, na kuyavaa"; Law 16:4 Click to expand... Kitani ni nini mkuu?
dudus said: "Ataivaa ile kanzu takatifu ya kitani, atakuwa na zile suruali za kitani mwilini mwake, atafungwa ule mshipi wa kitani, naye atavaa ile kofia ya kitani; hayo ndiyo mavazi matakatifu, naye ataoga mwili wake majini, na kuyavaa"; Law 16:4 Click to expand... Kitani ni nini mkuu?
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Jul 26, 2023 #43 The Icebreaker said: Nenda google kisha andika Mayahudi na manaswara. Sina time ya kupigizana kelele na muabudu waisrael. Click to expand... Google kuna kila aina ya takataka, utapata chochote unachotaka huko.
The Icebreaker said: Nenda google kisha andika Mayahudi na manaswara. Sina time ya kupigizana kelele na muabudu waisrael. Click to expand... Google kuna kila aina ya takataka, utapata chochote unachotaka huko.
P pilipili kichaa JF-Expert Member Joined Sep 3, 2013 Posts 18,406 Reaction score 14,643 Jul 26, 2023 #44 Wanavaa kwa madaraja na sio kweli kwamba kila mtu anaweza kuvaa kibaraghashia kwa kujiamulia. Unavaa kile cha daraja lako!
Wanavaa kwa madaraja na sio kweli kwamba kila mtu anaweza kuvaa kibaraghashia kwa kujiamulia. Unavaa kile cha daraja lako!