Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Siku za hivi karibuni mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya ccm Mh Magufuli amewatunukia nishani mpya ya Kofia baadhi ya wasanii kama ishara ya kuthamini mchango wao kwenye jukwaa la kampeni zake , baadhi ya wasanii wakazithamini kofia hizo na kwenda kuzihifadhi kwenye makabati yao ya kumbukumbu , huku wadau wakiamini hiyo ni tuzo ya heshima .
lakini sasa baada ya Snura naye kupewa , tuzo hiyo imeanza kupoteza thamani yake , Snura mwimbaji wa chura , wimbo usiyo na maadili ulioleta utata hana hadhi ya kupewa tuzo yoyote achilia mbali kofia ya Magufuli
Maadili ya wimbo wake hayakuwa sawa ndio maana alipigwa marufuku na BASATA