Renegade
JF-Expert Member
- Mar 18, 2009
- 7,221
- 6,940
Kulala au kulalana?Mdee na Bulaya kulala kitanda kimoja kimaadili ni sawa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kulala au kulalana?Mdee na Bulaya kulala kitanda kimoja kimaadili ni sawa?
Mdee na Bulaya kulala kitanda kimoja ndiyo iliwapoteza akina azory gwanda?Mdee na Bulaya kulala kitanda kimoja ndiyo ilimpiga Lissu risasi?Mdee na Bulaya kulala kitanda kimoja ndiyo inaleta wasiojulikana?Mdee na Bulaya kulala kitanda kimoja ndiyo inasababisha uhuru wa habari kuminywa Tanzania?Mdee na Bulaya kulala kitanda kimoja ndiyo inasababisha Magufuli kufanya ufisadi wa kutisha wa matrillion ya Watanzania kupitia Mayanga construction?Mdee na Bulaya kulala kitanda kimoja ndiyo ilisababisha wapinzani kupigwa stop kufanya siasa kwa miaka mitano wakati CCM ilikuwa ni ruksa?Mdee na Bulaya kulala kitanda kimoja ndiyo inasababisha vyombo vyote vya habari Tanzania kutishika na kuonyesha tu kampeni za CCM na kukwepa kuonyesha za upinzani?Mdee na Bulaya kulala kitanda kimoja ndiyo ilisababisha maiti za watanzania zitapakae ufukweni?Siku zote ninyi mnasemaGA CCM inaiba kura wakati wa uchaguzi. Mliishawahi kuweka ushahidi? Uweke hapa tena nani niweke wa Mdee na Bulaya wakiwa wamelala kitanda kimoja. Serious!!!!!
Ahahahahahahah! An eye for an eye. Nishasema sasa!Uliwahi ona wapi mimi nasema hayo? Naona umebanwa unaanza kurefusha kiswahili
Hugo mtoa mada hajaharibu image ya mtu? Pumbavu!Ndo uweke ,nye ndo wale mnaochafua image za watu hovyo kwa kukaa kwenye kahawa za vijiweni
Matter of time.Acha uchakubimbi na umbeya.
Weka huo ushahidi.
Waulize hao wanaotoa mapovu wanatoa ya nini, labda wanaogopa hilo la pili! AhahahahahahahKulala au kulalana?
Hapana Behaviourist. Ila Mdee na Bulaya kulala ndio ilimfanya Lissu kwenda Ubelgiji kujifunza zaidi masuala hayo! Maswali mengine?Mdee na Bulaya kulala kitanda kimoja ndiyo iliwapoteza akina azory gwanda?Mdee na Bulaya kulala kitanda kimoja ndiyo ilimpiga Lissu risasi?Mdee na Bulaya kulala kitanda kimoja ndiyo inaleta wasiojulikana?Mdee na Bulaya kulala kitanda kimoja ndiyo inasababisha uhuru wa habari kuminywa Tanzania?Mdee na Bulaya kulala kitanda kimoja ndiyo inasababisha Magufuli kufanya ufisadi wa kutisha wa matrillion ya Watanzania kupitia Mayanga construction?Mdee na Bulaya kulala kitanda kimoja ndiyo ilisababisha wapinzani kupigwa stop kufanya siasa kwa miaka mitano wakati CCM ilikuwa ni ruksa?Mdee na Bulaya kulala kitanda kimoja ndiyo inasababisha vyombo vyote vya habari Tanzania kutishika na kuonyesha tu kampeni za CCM na kukwepa kuonyesha za upinzani?Mdee na Bulaya kulala kitanda kimoja ndiyo ilisababisha maiti za watanzania zitapakae ufukweni?
Mdee na Bulaya kulala kitanda kimoja imeleta majanga gani Tanzania?