Airmanula
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 3,527
- 5,762
cheap politics...tushuhulikie matatizo ya watanzania na umaskini waoMdee na Bulaya kulala kitanda kimoja kimaadili ni sawa?
wao kulala kitanda kimoja itamsaidia nini familia iliyo sehem yenye nyumba mbovu, huduma mbovu za afya, maji machafu, n.k