Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
😆😆😆Sera yake ni kuvalisha kofia 🤣🤣🤣😆
Huyu mzee dishi limeshayumba kwa kishindo cha Lisu
Huna uwezo huoNjoo uchukue buku saba kwangu kwa kusaidia kampeni ya Magu.
Mdee na Bulaya kulala kitanda kimoja kimaadili ni sawa?Siku za hivi karibuni mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya ccm Mh Magufuli amewatunukia nishani mpya ya Kofia baadhi ya wasanii kama ishara ya kuthamini mchango wao kwenye jukwaa la kampeni zake , baadhi ya wasanii wakazithamini kofia hizo na kwenda kuzihifadhi kwenye makabati yao ya kumbukumbu , huku wadau wakiamini hiyo ni tuzo ya heshima .
lakini sasa baada ya Snura naye kupewa , tuzo hiyo imeanza kupoteza thamani yake , Snura mwimbaji wa chura , wimbo usiyo na maadili ulioleta utata hana hadhi ya kupewa tuzo yoyote achilia mbali kofia ya Magufuli
View attachment 1576137
Maadili ya wimbo wake hayakuwa sawa ndio maana alipigwa marufuku na BASATA
Ukiambiwa thibitisha utaanza kuomba pooo !Mdee na Bulaya kulala kitanda kimoja kimaadili ni sawa?
Try me!!!Ukiambiwa thibitisha utaanza kuomba pooo !
Nimeiona mkuu anaongea na mlinzi wake pale kuna jambo letu paleSiku za hivi karibuni mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya ccm Mh Magufuli amewatunukia nishani mpya ya Kofia baadhi ya wasanii kama ishara ya kuthamini mchango wao kwenye jukwaa la kampeni zake , baadhi ya wasanii wakazithamini kofia hizo na kwenda kuzihifadhi kwenye makabati yao ya kumbukumbu , huku wadau wakiamini hiyo ni tuzo ya heshima .
lakini sasa baada ya Snura naye kupewa , tuzo hiyo imeanza kupoteza thamani yake , Snura mwimbaji wa chura , wimbo usiyo na maadili ulioleta utata hana hadhi ya kupewa tuzo yoyote achilia mbali kofia ya Magufuli
View attachment 1576137
Maadili ya wimbo wake hayakuwa sawa ndio maana alipigwa marufuku na BASATA
Bangi haitakufikisha popoteTry me!!!
Sijawahi hata kuvuta zile sigara za watoto za kusokota karatasi Ila nakunywa K Vant. Lakini kwa la Mdee na Bulaya limekuingia. Na bado ninayo mengine kibao.Bangi haitakufikisha popote
Nakuhurumia sana !Sijawahi hata kuvuta zile sigara za watoto za kusokota karatasi Ila nakunywa K Vant. Lakini kwa la Mdee na Bulaya limekuingia. Na bado ninayo mengine kibao.
Tuwekee picha hapa kwa ushahidi wakiwa kitanda kimoja siyo unaropoka tuMdee na Bulaya kulala kitanda kimoja kimaadili ni sawa?
pole mkuuNonsense