cheap politics...tushuhulikie matatizo ya watanzania na umaskini waoMdee na Bulaya kulala kitanda kimoja kimaadili ni sawa?
Ni kielelezo cha kuvalishwa ujinga kofia za CCM ni kielelezo cha umbumbumbu huwezi kuta mtu smart kichwani kavaa hiyo laana.Sera yake ni kuvalisha kofia 🤣🤣🤣😆
Huyu mzee dishi limeshayumba kwa kishindo cha Lisu
Ahahahahahahahah! Uliishawahi kucheza karata?Tuwekee picha hapa kwa ushahidi wakiwa kitanda kimoja siyo unaropoka tu
Ungelimshauri hicho mtoa uzi ningekuona wa maana.cheap politics...tushuhulikie matatizo ya watanzania na umaskini wao
wao kulala kitanda kimoja itamsaidia nini familia iliyo sehem yenye nyumba mbovu, huduma mbovu za afya, maji machafu, n.k
Toa jibu acha bla bla siyo unaropoka tuAhahahahahahahah! Uliishawahi kucheza karata?
Wewe una hoja gani uliyotoa mpaka mimi niijibu?Toa jibu acha bla bla siyo unaropoka tu
Weka ushahidi mbona unarukaruka?Ahahahahahahahah! Uliishawahi kucheza karata?
Nimekuambia lete ushahidi kwa utumbo ulioandika siyo mtoto wa kiume vidole juu kwa umbeaWewe una hoja gani uliyotoa mpaka mimi niijibu?
Siku zote ninyi mnasemaGA CCM inaiba kura wakati wa uchaguzi. Mliishawahi kuweka ushahidi? Uweke hapa tena nani niweke wa Mdee na Bulaya wakiwa wamelala kitanda kimoja. Serious!!!!!Weka ushahidi mbona unarukaruka?
Mnaumia sana mkiambiwa ukweli sio? Basi jia ushahidi ninao na nikitaka nitauweka. Matter of time fella!Nimekuambia lete ushahidi kwa utumbo ulioandika siyo mtoto wa kiume vidole juu kwa umbea
Uliwahi ona wapi mimi nasema hayo? Naona umebanwa unaanza kurefusha kiswahiliSiku zote ninyi mnasemaGA CCM inaiba kura wakati wa uchaguzi. Mliishawahi kuweka ushahidi? Uweke hapa tena nani niweke wa Mdee na Bulaya wakiwa wamelala kitanda kimoja. Serious!!!!!
Ndo uweke ,nye ndo wale mnaochafua image za watu hovyo kwa kukaa kwenye kahawa za vijiweniMnaumia sana mkiambiwa ukweli sio? Basi jia ushahidi ninao na nikitaka nitauweka. Matter of time fella!
Na vipi sunura kupewa kofia kuna muathiri vipi?cheap politics...tushuhulikie matatizo ya watanzania na umaskini wao
wao kulala kitanda kimoja itamsaidia nini familia iliyo sehem yenye nyumba mbovu, huduma mbovu za afya, maji machafu, n.k
Acha uchakubimbi na umbeya.Mnaumia sana mkiambiwa ukweli sio? Basi jia ushahidi ninao na nikitaka nitauweka. Matter of time fella!