Koki za kujisafishia chooni huenda zikawa chanzo kimojawapo cha kuongezeka kwa ushoga

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Hizi koki za kisasa za kujisafishia chooni baada ya kujisaidia wengine tumeziona ukubwani. Naamini si za kisasa, mimi naziita za kisasa kwakuwa nimeanza kuziona ukubwani.

Nimewaza tu hapa kwa mtoto mdogo anayependa kuchezea maji pindi anapokuwa chooni akijipiga maji kupita kiasi sehemu ya haja kubwa si ndio mwanzo wa ushoga huo.

Hapana, nionekane tu mshamba ila home kwangu kuweka hizi koki haiwezekani.

Ushoga ni jambo la aibu sana, naogopa mwanangu kuwa punga.
 
Mkuu yani hutaki watoto wako wapate Raha kama unayoipata ukitumia hiyo KoKi!!!?
Mimi tatumia kwa matumizi ya kawaida. Hawa watoto wangu wanapenda sana kucheza chooni au bafuni. Sasa ukiweka koki kama ile si hatari.
Hapana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…