Koki za kujisafishia chooni huenda zikawa chanzo kimojawapo cha kuongezeka kwa ushoga

Koki za kujisafishia chooni huenda zikawa chanzo kimojawapo cha kuongezeka kwa ushoga

Una maanisha unapojipiga hiyo koki puru ina meza maji au unataka kusemaje hapo? [emoji18][emoji871]
 
Mkuu watoto wako watakuwa mashoga kwa jinsi unavyoogopa. Jinsi unavyowaza kwa wanao ndivyo inavyokuwa. Cha msingi wewe jiamini halafu wakabidhi watoto wako kwa Mungu na yeye atawapigania.
 
Sio koki tu
Hata smartphone,automatic cars,ngazi za kutembea na vingine vingi kama hivyo vnachangia ushoga
 
Ushoga unaanzia akilini mwako. Hicho kidude na ushoga wapi na wapi. Mwisho mtasema watu wasichambe sasa.
 
Umetest nini mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Umeonja msisimukooo[emoji23][emoji23]


Asikuambiee mtu tu tu bia tamuu
Biaa biaaa mitungiiii.......
 
Karibu kwetu mkuu,
Huku nyahenge tunatumia choo Cha kulenga
 
Kwa mtoto wa kiume siwezi sema chochote................. but kwa wasichana ndio kinanyegesha haswa mno
 
Sioni tatizo la hicho kitawazio, au wewe mtoa mada umefikiria nini mpaka kusema hicho kitawazio kinachangia ushoga umeona dalili gani?
 
Back
Top Bottom